Iliyofanyika ni written tarehe 14 ya mwezi huu wa tatu pale UCC mlimani. Ilikuwa computerised hakuna karatasi wala kalamu mwendo ni kuclick na kuscrow tu. Jaman cjajua bdo kama wameita tena kwa ajili ya oral, waliokuwepo tujuzane kama wameshanza kuita au watakapoita. Thanx.Kwa waliofika, zilizofanyika ni written or oral Interview ?? Nahisi kuna nafasi nyeti ambazo wagombea wake ni wachache wao hawanaga written, hazijaitwaaa
)