Ningemuita arudi.Ningetumia lugha gani msiniulize!
Inaonesha una technique kali sana za kuongea na wadudu mkuu!
Kwa kuonyesha kua najiamini na sijashtuka kwa kilichotokea,ningejamba na kutabasamu
Kwa kuonyesha kua najiamini na sijashtuka kwa kilichotokea,ningejamba na kutabasamu
Ahsante kwa kunifanya chizi kwa kucheka ndani ya daladala...
umefika kwenye interview baada ya kukaa mende anatoka kwenye suti yako ya kuazima na kukaa kwenye bega
interview panelist wakiwa wanashanga marara gafla mende anaenda kutua kwenye meza ya meneja ungeongea neno gani
Kwa kuonyesha kua najiamini na sijashtuka kwa kilichotokea,ningejamba na kutabasamu