Interview UDOM

Interview UDOM

Agent-47

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
783
Reaction score
2,780
Wadau natanguliza salam. jamani mwenye genuine info kuhusu wale waliofanya usahili wa kuandika UDOM na ivo kusubiria kuitwa kwenye usahili wa pili atujuze, maana mda naona umepita vile.
 
Kuna mtu nimesikia kaitwa j5 wii hii aende kwenye oral,alifanya post ya assistant internal auditor
 
Jaman hao udom ni maandazi sana walisema tar 17 ndo wangetoa majina ya watu waliofaulu written wajiandae kwa oral sasa mpk leo kimya...sasa hicho ni chuo kinachojielewa kweli jaman?
 
duuuh ....leo basi jamani duuuh...kind of gettin tired waiting ...
 
mkuu nakushauri ufanye mambo yako mengine coz kama walisema wataweka majina bado hawajaweka na hata wakiweka huwez jua matokeo yatakuaje so piga mishe zingine apply sehem nyingine uku ukiendelea kusikilizia... kila la heri
 
Back
Top Bottom