Bado hawajaita, kujiandaa sio mpaka waite mkuu.
Mwaga nondo hapa tufanye maandalizi!
Research kama topic au ile research tunayoandikaga chuoni?
Wapendwa naombeni kujua kwa yeyote ambaye amewahi kushiriki huu mchakato ni maswali gani au yanayohusiana na nini huwa yanaulizwa kwenye written interview?
Tupeane uzoefu tafadhali.
Inategemea na mtu anaye ku interview, kama alisomea mambo ya trade ata base sana huko ambayo ni negotiation skills, trade law, trade policy lazima uijue ytrade policy ya tanzania inasemaje...
Wapendwa naombeni kujua kwa yeyote ambaye amewahi kushiriki huu mchakato ni maswali gani au yanayohusiana na nini huwa yanaulizwa kwenye written interview?
Tupeane uzoefu tafadhali.
acha ujinga wako humu mtu amesema asaidiwe.wew.unaleta tution.zako humu,,, nyambafu sanaKama hujasoma certificate of compentence in international trade policy and trade law na endapo anayekufanyia interview amesomea basi lazima uta feli. Ukinilipa naweza kuku coach na watakuona kama genious maana akikuleta kwenye kuuliza ni tools zipi zinazotumika kua analyse trade policy sasa hapo pagumu kwako lazima. Nimesoma Msc international trade policy and tradfe law na nina certificate ya compentence. Sasa ukihitaji niwe consultant wako ili wakuone una uwezo kidogo nipigie maana trade officer haidani na uhasibu au mtu aliyesoma biashara kuna utofauti kidogo. Njoo arusha au uniite nije Dar ila ujiandae vizuri piga 0713551605 ili ujue unaniona kwa sh ngapi
Kama hujasoma certificate of compentence in international trade policy and trade law na endapo anayekufanyia interview amesomea basi lazima uta feli. Ukinilipa naweza kuku coach na watakuona kama genious maana akikuleta kwenye kuuliza ni tools zipi zinazotumika kua analyse trade policy sasa hapo pagumu kwako lazima. Nimesoma Msc international trade policy and tradfe law na nina certificate ya compentence. Sasa ukihitaji niwe consultant wako ili wakuone una uwezo kidogo nipigie maana trade officer haidani na uhasibu au mtu aliyesoma biashara kuna utofauti kidogo. Njoo arusha au uniite nije Dar ila ujiandae vizuri piga 0713551605 ili ujue unaniona kwa sh ngapi