interview tpdc

interview tpdc

reginahope

Senior Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
163
Reaction score
30
wadau habari zenu. napenda kuuliza mwenye kufahamu written interview za tpdc hasa kwa upande wa store officer zimekaa vp. pia nauliza km wanafanya pepa mchanganyiko km vile maths; english na proffesion. asanten
 
Haaaaa lazima vitini viusike. Jiandae tu kwa lolote. BtW kwani wewe lini?
 
Jipange, watakuleteeni mikalkulasi hadi mtie akili
 
Hata Interview Unataka kudesa ama kutumia phantom? Hujiamini ee. Jiandae ndugu
 
Hata Interview Unataka kudesa ama kutumia phantom? Hujiamini ee. Jiandae ndugu

nimeuliza tu na c kila anayeuliza anataka kudesa..; kujiamini najiamini sn kwan uwezo ninao tatizo nataka angalau kupata picha ya interview ili nijikumbushe kiaina coz ni mda tangu nimalize chuo
 
trh 6 na 7 afu mby zaidi npo mkoani nafasi yenyewe sijui ndo moja afu watu mia duh

Mmoja mwenyewe si ndio wewe au? Nenda kachukue kazi ndugu.

Mimi nasubiria shortlisted ijayo. Wakinitaja tu ata kama nafasi moja washiriki 100, nachukua kazi.
 
trh 6 na 7 afu mby zaidi npo mkoani nafasi yenyewe sijui ndo moja afu watu mia duh

Ndugu kuwa makini, hapa nilipo nina tangazo hilo la Call for Interview lililotoka kwenye gazeti la Habarileo na Tanzania Daima, STORES OFFICER II tarehe ya Interview ni tar 30/10/2013 saa 8:00 Asubuhi. Venue ni Msimbazi Center Ilala.
 
Back
Top Bottom