Interview TPA (Bandari)

Tusijidanganye hapo soma mambo basic ya bandari,customs, TPA Act and so on.
 
Tusijidanganye hapo soma mambo basic ya bandari,customs, TPA Act and so on.
Fata ushauri wa jamaa pale juu, siku zote utumishi wakiita kada nyingi ambazo haziendani huwa hawatoi mambo ya kwenye professional mpaka kwenye oral
 
mwenye sikio na asikie
 
Fata ushauri wa jamaa pale juu, siku zote utumishi wakiita kada nyingi ambazo haziendani huwa hawatoi mambo ya kwenye professional mpaka kwenye oral
Sawa Mkuu cha msingi aturejeshee mrejesho tuu hiyo Jumamosi majira ya saa 8 hivi nafikiri atakuwa na jambo la kutuambia.
 
Huyu bwana at least ameshauri kitu, yaani utumishi wale watu wapo very tricky yaani ukienda kule kama una malengo usiende kama mbahatishaji jipange.
 
sio wa commercial officer napo mnatushaurije?
 
Fata ushauri wa jamaa pale juu, siku zote utumishi wakiita kada nyingi ambazo haziendani huwa hawatoi mambo ya kwenye professional mpaka kwenye oral
Mkuu wanasemaje walioenda kwenye usahili?
 
Kama alifuata ushauri wako hapa, nina uhakika atafanikiwa kutoboa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh mkuu umetisha sana. Wamepita humo humo
 
Mungu akubariki sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…