B Benice Member Sep 24, 2011 53 5 Oct 6, 2011 #1 Wana JF hivi Sekretariat ya ajira walishaita interview,,kwa zile kazi walizotangaza july,Tanzania Parliamentary Comission ilihusika ndani hzo ajira,,na TRA vip wameshaita..maana kote sielewi whts going on..naomba mnijulishe tafadhali
Wana JF hivi Sekretariat ya ajira walishaita interview,,kwa zile kazi walizotangaza july,Tanzania Parliamentary Comission ilihusika ndani hzo ajira,,na TRA vip wameshaita..maana kote sielewi whts going on..naomba mnijulishe tafadhali
quimby_joey JF-Expert Member Nov 2, 2010 390 164 Oct 6, 2011 #2 nakushauri ujiajiri mkuu vinginevyo utadata!