Interview sekretariat ya ajira na TRA

Benice

Member
Sep 24, 2011
53
5
Wana JF hivi Sekretariat ya ajira walishaita interview,,kwa zile kazi walizotangaza july,Tanzania Parliamentary Comission ilihusika ndani hzo ajira,,na TRA vip wameshaita..maana kote sielewi whts going on..naomba mnijulishe tafadhali
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom