Interview Research assistant II at TPDC

K47

Member
Nov 21, 2011
6
0
Wana JF habari zenu,

Naomba kujuzwa kuhusu hii post Research assistant II nimeitwa interview lakini sina details za kutosha.

1. Naomba kujuzwa ngazi zao za mshahara katika hii post, nakumbuka waliandika ngazi ya TPDC-RS 2 ila sijajua ni shs ngapi
2. Marupurupu yake yakoje???

Ahsanteni sana
 
I thought utauliza maswali ambayo yatakusaidia ushinde interview like JD za hiyo kazi n.k and not mishahara na marupurupu ambayo yako set already
 
I thought utauliza maswali ambayo yatakusaidia ushinde interview like JD za hiyo kazi n.k and not mishahara na marupurupu ambayo yako set already

Unajua JD ziliainishwa vyema kwenye tangazo la kazi nikaona zinatosha kama nitazifanyia kazi kabla ya interview. Ninachotamani kukijua hapa ni mambo kama ya mshahara n.k kwani nataka kubadilisha kazi so nisije kupoteza gharama kusafiri kwenda kwenye interview halafu nikakuta napata kiasi kidogo kuliko nipatacho. Nadhani tukubaliane vyote ni muhimu lakini masilahi pia ni muhimu nasio mbaya kuulizia.. The State
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom