Wana JF habari zenu,
Naomba kujuzwa kuhusu hii post Research assistant II nimeitwa interview lakini sina details za kutosha.
1. Naomba kujuzwa ngazi zao za mshahara katika hii post, nakumbuka waliandika ngazi ya TPDC-RS 2 ila sijajua ni shs ngapi
2. Marupurupu yake yakoje???
Ahsanteni sana