Hiyo interview msikimbilie kulalamika kuna vitu vingi vinapimwa kwa mfano
1.Je kama jambo hulijui unakubali kwa kuliacha swali au unapoteza muda kwa usiyoyajua?"First things first"
2.Kufaulu si kupata 100%, au kwa lugha nyingine "you are not needed to be the best but do your best"
3.Kwa kupewa maswali mengi na muda mchache only if ni mchache,kazini kuna wakati you have to meet timelines and dead lines within a very short time,sasa hiyo interview possibly inakuandaa kwa hilo so tusiwe wepesi wa kulalamika everything happen for a reason.
4.Kampuni nyingi zinahitaji mtu ambaye anamaliza kazi kwa muda aliopewa so huoni hapo unapimwa
5.Kwa kupewa maswali mengi muda mchache,huoni kama tayari you will be working under pressure with minimum supervision,je hujaandika hili kwenye CV yako,by the way makampuni yanahitaji watu wanaoweza work under pressure.Kuna vitu vingi naweza sema kuhusu hiyo aptitude test,uliza kuna watu wanapiga interview kwenye computer muda uko set ukiisha inakulog out.Tupunguze kulalamika,there is always a lesson to learn only if you have "eyes" to see.