sio kwamba unatakiwa kupata zote 100, wanakupima ni jinsi gani unavyoweze kuhudumia wateja ndani ya muda mfupiNilikuwa mmoja wa waliobahatika kuitwa kwenye written interview ya Operations Officer, interview iliyofanyika leo IFM.
Lakini moja ya maajabu niliyokutana nayo ni kupewa maswali 100 yanayotakiwa kujibiwa ndani ya dakika 135.
Kwa maana hiyo ili kupata alama zote(100%) inatakiwa kila swali lijibiwe sahihi ndani ya dakika 1 na sekunde 21 tu. Sijui waandaaji wa hayo maswali walitumia kigezo gani kupima kiasi kwamba mtahiniwa anaweza kupata muda wa kusoma swali, kulielewa na kutoa uamuzi ndani ya hiyo dakika moja.
Kwa kweli unatakiwa kuwa na supersonic speed ya ubongo sehemu ya kufikiri ili uweze kumaliza aptitude test hiyo vinginevyo lazima uwe umeyaona maswali kabla.
Kama huu sio usanii basi ni kukomoana.
Kwa kweli unatakiwa kuwa na supersonic speed ya ubongo sehemu ya kufikiri ili uweze kumaliza aptitude test hiyo vinginevyo lazima uwe umeyaona maswali kabla.
Nilikuwa mmoja wa waliobahatika kuitwa kwenye written interview ya Operations Officer, interview iliyofanyika leo IFM.
Lakini moja ya maajabu niliyokutana nayo ni kupewa maswali 100 yanayotakiwa kujibiwa ndani ya dakika 135.
Kwa maana hiyo ili kupata alama zote(100%) inatakiwa kila swali lijibiwe sahihi ndani ya dakika 1 na sekunde 21 tu. Sijui waandaaji wa hayo maswali walitumia kigezo gani kupima kiasi kwamba mtahiniwa anaweza kupata muda wa kusoma swali, kulielewa na kutoa uamuzi ndani ya hiyo dakika moja.
Kama huu sio usanii basi ni kukomoana.
Kulikuwa na maswali ya hesabu za mafumbo u formulate equation mwenyewe, sijui unaweza ku formulate equation baadae ufanye hesabu ndani ya dakika 1.
Khaa!! Hii inategemea swali lenyewe. Hebu weks swali moja hapa. Mibongo kaxi kulalamika tu
daah inasikitisha sana mleta mada ni moja wa candidates yaani ujinga ulioandika hapo juu hata kazi ya u house girl sikupi...u r failure by nature
Mfano wa swali moja lijibiwe ndani ya dakika 1.Khaa!! Hii inategemea swali lenyewe. Hebu weks swali moja hapa. Mibongo kaxi kulalamika tu
Halafu cha kushangaza zaidi::
Mimi huwa nashindwa kuelewa nimeona watu wana vitambulisho vya Standard chartered, Crdb, NBC, na makampuni makubwa makubwa nao wame apply kazi. Sasa hivi ni tamaa ya kutaka kufanya kazi Nssf au? Mtu unafanya kazi unalipwa vizuri mfano " standard chartered wanalipwa si pungufu ya laki nane take home" yanini kuja kutuzibia nafasi tusio na ajira kabisa?
Huu ni ulimbukeni na tamaa tu!!
I hate those who came from reputable companies like standard chartered, crdb, to apply for our position..
real inauma sana....wadau.
Unajibu maswali mengi uwezayo, simple!
Mkuu Rio Tinto ni ujinga upi nilioandika nionyeshe kabla ya kulaumu au tujulishane kama na wewe ulikuwepo kwenye interview na uliyaona maswali.daah inasikitisha sana mleta mada ni moja wa candidates yaani ujinga ulioandika hapo juu hata kazi ya u house girl sikupi...u r failure by nature