Mwana Mnyonge
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 518
- 448
jamani si mnajua kesho ndio interview, anae fahamu jamaa maswali yao yanakuaje atusaidie tujikomboe katika hili si mnajua mtaani pagumu ndugu zangu nawasilisha.
hapana atakuwa naboce au higher government .we loiboki mbona kamwambia ukweli we certificate nini?
Nimempa point za kusoma'kwani Nbaa ndio wameombwa kutunga paper.Nina mdau kanipa point hizo toka Mhasibu House.ukifaulu unaenda oral kisha computer .Kweli wadau mnaojua halahala tusaidiane ila kama hujui ni bora kukaa kimya kuliko kudanganya wenzako.
mmh wabongo kwa madesa..,nenda kwenye interview wakakupime uwezo wako tumechoka na wataalamu wa kukariri wametuletea hasara kubwa sana ndo hao hao wanaopitisha bahasha ili mambo yao yakae sawa....
Ona maisha yetu waTZ yalivyo magumu utadhani hatuna wataalamu..,wachumi kibao wanamaliza vyuo vikuu kila mwaka ila kwasababu wanakariri huko vyuoni na kwenye interview wanaomba msaada kama wewe hata wakienda ofisini hawana jipya elimu yao inabaki kwenye vyeti.
Tena naomba hao jamaa kwenye interview wachukue wataalamu wazuri na wenye uzalendo..
c kwakua we uko kazini, na c ajabu uliwekwa tu kwenye kazimmh wabongo kwa madesa..,nenda kwenye interview wakakupime uwezo wako tumechoka na wataalamu wa kukariri wametuletea hasara kubwa sana ndo hao hao wanaopitisha bahasha ili mambo yao yakae sawa.... Ona maisha yetu waTZ yalivyo magumu utadhani hatuna wataalamu..,wachumi kibao wanamaliza vyuo vikuu kila mwaka ila kwasababu wanakariri huko vyuoni na kwenye interview wanaomba msaada kama wewe hata wakienda ofisini hawana jipya elimu yao inabaki kwenye vyeti.Tena naomba hao jamaa kwenye interview wachukue wataalamu wazuri na wenye uzalendo..
c kwakua we uko kazini, na c ajabu uliwekwa tu kwenye kazi
unayosema ni kweli but kuuliza jinsi maswali ynavokuwa sio vibaya sababu kuna wengine hata interview hatujawahi kuingia kuna watu wana uelewa kuhusu hayo mambo kitu kingine uzalendo unatoka moyoni elimu inatoka kwenye ubongo, kuna wasomi wangapi hawjakalili na wametupeleka hapa tulipo ,tatizo hapa sio kukalili bali ni kuchanganya siasa na kazi kama umesoma hauwezi kuelewa bila kukalili ,hoja yako haina msingi mfano unafahamu lugha ya kichina hauwezi kuelewa bila kukalili unalifahamu hilo
ongea kitu kwa kufanya uchunguzi hivi unajua kuna wakati daktari anabidi akalili kabla ya kuelewa neno na baadhi ni madaktari bingwa na wanakili hilo