Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,682
- 45,597
Sector ya kilimo kwa nchi yetu Bado tunanafasi kubwa ya uzalishaji chakula,tuna ardhi safi,Maji yakutosha so tunaweza kuzalisha na kuuza hata kwa mataifa mengine ulimwenguni.Maswali ya mwisho kutoka kwangu!
Kwa Hali ya sasa unawashauri vijana wajielekeze ktk sectors zipi!?
Ndoto yako ni ipi
DJ sepetu
Tusisahau na ufugaji pia,.tchaoooSector ya kilimo kwa nchi yetu Bado tunanafasi kubwa ya uzalishaji chakula,tuna ardhi safi,Maji yakutosha so tunaweza kuzalisha na kuuza hata kwa mataifa mengine ulimwenguni.
NDOTO yangu ni kuja kuwa mjasiriamali aliyekamilika.
Poa Polmumu mambo
Naomba nimuulize swari.....!Poa Pol
Daaaaah we mbilikimo kumbe unavutia watu hiviiiii njoo mshukuru apa mumu lakn usimuite pm mana huyu ni kama mimi dada akoOMGmaybe Saint Ivuga
Yupo huo Uzi Wa jiran Wa samahaniDaaaaah we mbilikimo kumbe unavutia watu hiviiiii njoo mshukuru apa mumu lakn usimuite pm mana huyu ni kama mimi dada ako
Saint Ivuga
Mumi nampenda sanaaa.Daaaaah we mbilikimo kumbe unavutia watu hiviiiii njoo mshukuru apa mumu lakn usimuite pm mana huyu ni kama mimi dada ako
Saint Ivuga
Kumbeee sijamuona afu kanchuniaYupo huo Uzi Wa jiran Wa samahani
DJ sepetu
Mumi nampenda sanaaa.
Afu nina zawadi ya keki yake. Popote itakapomuona mpe salamu zangu.
Afu wewe kifutu mbon tumbo linalitoka sana.
Unakula sana matoke nini!?
Wewe nitakupa samaki.daah afu nimekumiss ujue naona mambo si mabaya..me ndo umen nyima hyo keki eee
Hahahahaaaa kumbe mbilikimo lolDaaaaah we mbilikimo kumbe unavutia watu hiviiiii njoo mshukuru apa mumu lakn usimuite pm mana huyu ni kama mimi dada ako
Saint Ivuga
Hahhaa vice versa ila hujakosea kuvutiwa nae ujue ivuga ana kila sifa mcheshi, mstarabu afu ni Man of GodHahahahaaaa kumbe mbilikimo lol
KaribuNaomba nimuulize swari.....!
Kamata makiss kiss mengi mamaOMGmaybe Saint Ivuga