kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,993
Sijawai itwa interview ila Leo nimeambiwa baada ya siku 3 nitaitwa interview baada ya kupitia barua zangu..
Sasa hapa sijui wanaenda Nihoji nini wakuu nijuzeni shule ni ya English medium
Sasa hapa sijui wanaenda Nihoji nini wakuu nijuzeni shule ni ya English medium