nimekua nikifanya kazi kampuni tofauti kama mbili lakini zote hizo nilikua nikipita bila interview sababu kuna wa2 walikua wananibeba si unajua tena nibebe nibebe nivukee salama.sasa kuna nafasi za kazi pale landmark hotel nimepeleka barua interview wik hii je wanaulizwa maswali gani kwa mwenye uzoefu post ni receiption
Toa cv yako usaidiwe maana inategemea na level yako kama la saba utasaidiwa kulingana na la saba........... Degree na kuendelea
Kama wewe ni receptionist unahitaji usaidiwe ni i tena wakati ulikuwa kazini muda wote? Majukumu ya kazi yako unayafanyaje?? Au hata kazi zako za kila siku umekuwa ukibebwa? Muulize huyo alokuwa anakubeba muda wote ana majibu ya kukupa!
nimekua nikifanya kazi kampuni tofauti kama mbili lakini zote hizo nilikua nikipita bila interview sababu kuna wa2 walikua wananibeba si unajua tena nibebe nibebe nivukee salama.sasa kuna nafasi za kazi pale landmark hotel nimepeleka barua interview wik hii je wanaulizwa maswali gani kwa mwenye uzoefu post ni receiption
nadhani ujaielewa post yangu vizuri naitaji kusikia baadh ya maswali yanayopendwa kuulizwa kwenye interview
Kama wewe ni receptionist unahitaji usaidiwe ni i tena wakati ulikuwa kazini muda wote? Majukumu ya kazi yako unayafanyaje?? Au hata kazi zako za kila siku umekuwa ukibebwa? Muulize huyo alokuwa anakubeba muda wote ana majibu ya kukupa!
Hayo ndo maswali yenyewe aliyoweka hapo, Ulikokuwa majukumu yako yalikuwa ni yapi? Ni kwa mda una uzoefu? Historia yako kwa ufupi, kuanzia elimu yako ya msingi na elimu ya juu uliyonayo, umezaliwa lini? trh mwz na mwaka. Historia yako katika kazi. kwa nini unataka kufanya kazin na landmark, kwa nini unaondoka uko ulikokuwa kwanza? Nini landmark wategemee kutoka kwako? Nini malengo yako ya baadae? Ungependa landmark wakulipe kiasi gani iwapo utaajiriwa na mengine mengi mkuu appoh. ukitaka zaidi ni PM.
ni form six mkuu nimefaulu masomo yote na nina cheti cha computer basic yaani ms world .internet.excel na publisher