Kuna mdau hatumii JF, kachaguliwa kwenda huko Iringa, ila kaniomba nimtangazie group lake kwa waliochaguliwa kwenda huko ili mshirikiane mawili matatu wasomi nyinyi. Jiunge moja kwa moja kupitia link hii: Iringa Interview
Endapo umechaguliwa kufanya interview katika ajira za ualimu katika mkoa wa Iringa, naomba namba yako PM, au hapa kama inawezekana, kuna mdau ana group kwa ajili ya kushare mawili matatu.