vijana hizi interviews zipo tu... zilikuwepo na zitakuwepo
jiandaeni vizuri, pigeni revision ya nguvu, kuweni nadhifu (kuvaa makata kundo, mtindi-nje nk., swagga za kinyaturu nk.) haviwasaidii sana
hata hii typing - typing haina tija saaaana
huu muda ni adhimu na adimu kwenu