Ingia google upate abc za aptitude testIzo zingine HR concept sijui matheory i've nothing to fear najiamini ishu ni iyo aptitude test ambayo wanasema haibase kwenye career yako
Man...Swali la mwisho nafasi zilitangazwa kwenye magazeti ya Serikali? Short list zilitangazwa? Maana hadi kuitwa kwenye mhitani wa maandishi kuna uchujaji, ila kama una Godfather kila la heri ila ukisikia malipo yoyote alarm igonge.
Walikuambia OFISI NDOGO YA BOT IPO WAPI?
TANGAZO LILITOKA LINI?
APPLICATION DEADLINE ILIKUA LINI?
Una doc yenye saini? Aither
tangazo
Wito wa interview
au barua yoyote?
Sina uhakika sana ila najua kuna baadhi ya post hasa nyeti wanapostiwaga direct
Ukipata au kupigwa utustue
Na hilo chaka jingine alishafeli tena atafute chaka jingine tenaUshafeli mwanangu, tafuta chaka jingine.
Barua ya Wito hii apa maelekezo yote yapo huku. Mi nafikiri ungefocus kwenye uzoefu na Aptitude test kama una uzoefu nayo ila kuanza kuhisi post ni za uongo uko uko wrong mi mwenyewe niko smart kwenye kupembua mambo ya aina hii so sio rahisi kuniingiza mkenge. Bytheway izo letter head ukienda kwenye website yao utazikuta zotenipo huku siku nyingi ndio maana nikasema umeshikwa mkono maana hata tangazo hujaliweka
Mkuu Mimi pia nilipata kazi kwa Hali ilivyongumu kwa sasa kila mmoja alikua anasema natapeliwa hadi napata barua ya kuitwa kazini na posho+ mshahara unaingia ndo wakaamini, Ila Mimi nilijitoa nikasema as hakuna sehemu yoyote natoa pesa kwahyo sikua na cha kupoteza labda zaidi sana wangekua matapeli wangenipotezea muda. Kila la kheri mkuu nenda kapambane.Tangazo mbona lilitembea sana mkuu sema wewe ndio hukulionaBarua ya Wito hii apa maelekezo yote yapo huku. Mi nafikiri ungefocus kwenye uzoefu na Aptitude test kama una uzoefu nayo ila kuanza kuhisi post ni za uongo uko uko wrong mi mwenyewe niko smart kwenye kupembua mambo ya aina hii so sio rahisi kuniingiza mkenge. Bytheway izo letter head ukienda kwenye website yao utazikuta zoteView attachment 1983808
We jamaa sijui unafikra gani, tangazo la BOT nafasi zilitoka tangu mwezi wa 6 na watu wameanza kuitwa na kutumiwa email for interview... Na interview inafanyika palepale BOT Dar posta....unaongelea habari za upigaj maana akili yako ishajitune kuamin hivyo...huamini nenda tarehe 3&4 utawakuta wakifanya interview afu useme habari zako za upigaji....watu kama nyie mnakera sananipo huku siku nyingi ndio maana nikasema umeshikwa mkono maana hata tangazo hujaliweka
Kaka hongera sana kwa kuwa shortlisted, aptitude test inatest zaid ur reasoning ability and personality...kunaweza kuwa na simple arithmetic questions na personality questions...the qns always seems to be easy but witu tricky answers....so nakushauri tu ingia google and youtube search for aptitude test...u will get enough info abt that...lakin pia jikumbushe vihesabu vya olevel kama zile za sequence and series, zile za kucalculate distance, speed...na yale mambo ya principal, interest and time...kwenye test niliyoifanya mm kwenye upande ya numerical qns vilikuwepo....kwenye personality qns watataka kujua wewe ni mtu wa aina gan and how u react with situation...also u might be asked qns ili kujua kama ww ni team player au lah...all in all...am wishing u all the bestTangazo mbona lilitembea sana mkuu sema wewe ndio hukulionaBarua ya Wito hii apa maelekezo yote yapo huku. Mi nafikiri ungefocus kwenye uzoefu na Aptitude test kama una uzoefu nayo ila kuanza kuhisi post ni za uongo uko uko wrong mi mwenyewe niko smart kwenye kupembua mambo ya aina hii so sio rahisi kuniingiza mkenge. Bytheway izo letter head ukienda kwenye website yao utazikuta zoteView attachment 1983808
Watu kama huyu EINSTEIN112 ndio mara nyingi wanaishia kupigwa. Anajiona anajua kumbe hamna kituMkuu Mimi pia nilipata kazi kwa Hali ilivyongumu kwa sasa kila mmoja alikua anasema natapeliwa hadi napata barua ya kuitwa kazini na posho+ mshahara unaingia ndo wakaamini, Ila Mimi nilijitoa nikasema as hakuna sehemu yoyote natoa pesa kwahyo sikua na cha kupoteza labda zaidi sana wangekua matapeli wangenipotezea muda. Kila la kheri mkuu nenda kapambane.
Shukrani sana mkuu....Kaka hongera sana kwa kuwa shortlisted, aptitude test inatest zaid ur reasoning ability and personality...kunaweza kuwa na simple arithmetic questions na personality questions...the qns always seems to be easy but witu tricky answers....so nakushauri tu ingia google and youtube search for aptitude test...u will get enough info abt that...lakin pia jikumbushe vihesabu vya olevel kama zile za sequence and series, zile za kucalculate distance, speed...na yale mambo ya principal, interest and time...kwenye test niliyoifanya mm kwenye upande ya numerical qns vilikuwepo....kwenye personality qns watataka kujua wewe ni mtu wa aina gan and how u react with situation...also u might be asked qns ili kujua kama ww ni team player au lah...all in all...am wishing u all the best
Afu bro , usitumie nguvu sana kuwathibitishia watu huku kuhusu genuinity ya wewe kuitwa kwa interview,ambae anaamin muache, ambaye haamin muache, coz haikuongezei wala kukupunguzia kitu...cha muhimu focus tu na kile ulichokuja kuuliza hapa...watu humu wana makasiriko na wivu pia kutopata hizo nafasiTangazo mbona lilitembea sana mkuu sema wewe ndio hukulionaBarua ya Wito hii apa maelekezo yote yapo huku. Mi nafikiri ungefocus kwenye uzoefu na Aptitude test kama una uzoefu nayo ila kuanza kuhisi post ni za uongo uko uko wrong mi mwenyewe niko smart kwenye kupembua mambo ya aina hii so sio rahisi kuniingiza mkenge. Bytheway izo letter head ukienda kwenye website yao utazikuta zoteView attachment 1983808
Yote hayo hayana faida ukianguka usailiInategemea ni kada ipi umeitiwa,uhandisi,biashara nk.
Na pale huwa kunakuwa na interview mbili,
Huwa Kuna mapocho pocho kibao,korosho,kahawa,kuku kidogo,kipindi hicho hata nauli unarudishiwa kama umetoka mkoani.
Yani unasema uko huko siku nyingi and u have no idea hata tangazo la kazi lilitoka lini ..labda upo BOT ya tunduru 😂😂shamenipo huku siku nyingi ndio maana nikasema umeshikwa mkono maana hata tangazo hujaliweka
Endelea kukaza ubongo tu kama unao, tunakuambia kazi zilitangazwa June kila mtu anajua...ila sijui hata unauliza nn hapa...kama kupigwa haupigwi wewe...endelea na kazi zako usilete ujuaji au makasiriko kwa wengineNipo Serikalini na sio BOT uwe unajiongeza maana hata tangazo hujaweka
Au ndio watoto wa wakubwa mmeitwa
Afu bro , usitumie nguvu sana kuwathibitishia watu huku kuhusu genuinity ya wewe kuitwa kwa interview,ambae anaamin muache, ambaye haamin muache, coz haikuongezei wala kukupunguzia kitu...cha muhimu focus tu na kile ulichokuja kuuliza hapa...watu humu wana makasiriko na wivu pia kutopata hizo nafasi
Wewe kwanza....We dogo nimekupa tahadhari tu maana mkipigwa mnakuja kulilia hapa