Interview Azam Juice

Interview Azam Juice

Director-k

Member
Joined
Mar 12, 2014
Posts
88
Reaction score
26
Habari Zenu Wakuu.
Niliitwa Kwenye Interview ( Milk Sells ) Tarh 4.3.2015 Azam Juice Vingunguti Relini. Lakin Mpaka Leo Sijapigiwa Sim Wala Sms Kujulishwa Kilichojiri.
Mi Nataka Kujua Kama Kuna Mdau Yeyote Anaejua Kilichojiri Anijuze.
 
Nenda ulawaulize mbona ulipoitwa hukuja hapa kusema
 
Mi nilipigag interview Oct. nikaja kuitwa kazini January baada ya miez kama mitatu...sintosahau
 
Back
Top Bottom