Interview African Barrick

Interview African Barrick

calisy

Senior Member
Joined
Apr 23, 2014
Posts
104
Reaction score
9
habari wana jamii, nimeitwa interview barrick gold nili apply tukue pamoja development programe, ambaye amefanya interview zao nisaidieni wanauliza maswali gani nipate mwelekeo, natanguliza shukrani.
 
Ngoja leo niulize nimekua nikijiuliza kila siku hivi kwanini watu hua mnauliza maswali yanayo ulizwa kwenye usahili? Hamjiamini na taaluma zenu? Na nikweli kwamba maswali hua yanafanana? Na kama umesomea kitu ukaelewa sio kukariri kwanini uulize aina ya maswali yanayoulizwa? Naomba msaada aliye wahi kuelezwa aina ya maswali yanayo ulizwa na yakaenda kuulizwa akafanikiwa kupata Kazi aje aseme kitu hapa na mimi nielimike zaidi. As ante...
 
nataka mwelekeo nipitie vitu gani ntaenda sijajiaandaa
 
interview ni nxt week still hv tym.
 
Kama coz umeisoma miaka mitatu full time leo wataka pewa vtu kwa week moja tu shame on u,kwa kukusaidia make sure umeipitia CV yako vizur,maswal meng yanatokana na jins ulvoiandaaa cV yako,majibu yako pia yanaweza anzisha maswal pia make sure unajib kitu chote kizima paspo weka doubt,jiandae kwenda kutana na watZ wenye roho zao kule,Mungu akutangulie
 
Back
Top Bottom