Vampire 99
Senior Member
- Jun 15, 2021
- 108
- 63
Nawasalimu wote.
Wakuu naombeni ushauri wenu, nina kacertificate changu cha uasibu. Sasa wakuu nitaweza kweli kutumia haka kacertificate changu kupata hata sehemu ya kujitolea kwa muda, kama mnafahamu sehemu yeyote hapa arusha ambapo ntapata nafasi ya kujitolea naomba mniambie, na mawazo mbadala pia. Mawazo yenu yataweza kunitoa sehemu moja kwenda nyingine.