Dimlyt
Senior Member
- Aug 1, 2019
- 105
- 163
Habari zenu ndugu zangu,
I hope mko salama na mnaendelea kuchukua tahadhari dhidi ya COVID-19.
Mimi ni kijana mwenye degree ya Food science and technology, Naombeni msaada wenu ili niweze kupata sehemu ambayo naweza kufanya internship, part-time work au hata kujitolea.
Yeyote mwenye detail kuhusu kampuni au organisation ambayo naweza nika-qualify anaweza kushare.
Naamini katika jukwaa hili nitapata msaada.
Ahsanteni.