Internship Geita Gold Mine(GGM). Washaanza kuita?

Internship Geita Gold Mine(GGM). Washaanza kuita?

KMkhalid

Senior Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
118
Reaction score
228
Kwema wakuu?

Takribani wiki moja na siku kadhaa tangu tarehe ya mwisho ya kuapply nafasi za intern za GGM zilizotumwa mwezi huu Nov,22. Kuna yeyote aliyeitwa mpaka sasa? Au mwenye taarifa yeyote ile inayohusiana naomba tujuzane.

Ahsante.
 
Back
Top Bottom