Naamini wahusika wapo maana JF ni mkusanyiko wa watu mbalimbalii.....ko kama wewe sio muhusika wa kilichoulizwaa funga mdomo upite hivi.....Good morningUnayeuliza uko nchi gani?Unadhani hii ni forum ya chuo?
Asante kwa jibu maridhawa. Nadhani huyo ni mkulima wa kijijini! Otherwise he cold not have made such a silly comment!Naamini wahusika wapo maana JF ni mkusanyiko wa watu mbalimbalii.....ko kama wewe sio muhusika wa kilichoulizwaa funga mdomo upite hivi.....Good morning
Do not be silly!Unayeuliza uko nchi gani?Unadhani hii ni forum ya chuo?
Asante. Nilkuwa na wasi wasi kuwa mpaka leo bado wamezuiwa.Inters wanaendelea kama kawaida kwa kozi zote za afya MD,Lab,pharmacy,Nursing degree. Kwa hapa hospital kwetu tertiary Refferal
Ahaaa ok. Wapo hapa kwetu wanaendelea na kazi na mafunzoAsante. Nilkuwa na wasi wasi kuwa mpaka leo bado wamezuiwa.
Ahaaa ok. Wapo hapa kwetu wanaendelea na kazi na mafunzo