Wadai kuna jamaa yangu yupo safarini
Kanitumia link ya kuomba internship za British council but haifunguki na deadline ni kesho!!
Mwenye kujua anipe maujanja!!!!

Wakuu, ni Kweli ipo unpaid internship ya miezi 6 katika department ya Trade and Investment ,British high commisioner,nzuri sana kwa fresh graduate kuanza kupata uzoefu.
Hii internship kama hawalipi kwa nini wanafanyia watu hadi usaili??
Sasa ntakua naenda homa na kurudi home pasipo kuingiza chochote zaidi ya kutoa tu??? Mhhh