Internet ya TTCL Mobile na na bei Internet bundles kwa ujumla | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Internet ya TTCL Mobile na na bei Internet bundles kwa ujumla

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by tototundu, Apr 6, 2011.

 1. tototundu

  tototundu Senior Member

  #1
  Apr 6, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nitanunua na kutest internet ya TTCL Mobile nione ikoje.
  Kilicho ni interest ni hizi bei zao mpya.
  Wameweka matangazo kwenye redio na other media kuwa sasa unaweza kupata modem ya ttcl kwa under Tshs 30,000, hizo ni habari njema, na pia utapata 50mb kwa shilingi 1500, na 1Gb kwa shilingi 8000.

  Kilichonishangaza kidogo, 1Gb kwa shilingi 8000, 4GB kwa shilingi 90,000!, jamani inaleta sense hii, hakuna harufu ya uchakachuaji hapa?

  Other data, walikuwa (au bado wana) charge, according to website yao, EVDO, bundles zifuatazo:
  500MB at a price of TZS 40,000.00, 1GB at a price of TZS 70,000.00 na 2GB at a price of TZS 100,000.00

  nini kimewafanya wa deviate so much kutoka their original prices?

  [​IMG]
   
 2. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Hivi watu wengine huwa wanasikiliza redio gani? hebu nenda hapa kwenye site yao uona yaani ni tofauti kabisa Products and Services
   
 3. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Mkuu hebu tutajie hizo media nyingine!!
   
 4. tototundu

  tototundu Senior Member

  #4
  Apr 6, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sikiliza Clouds FM wakati wa Jahazi, na pia tembelea ofisi zao kama Kijitonyama
   
 5. tototundu

  tototundu Senior Member

  #5
  Apr 6, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nenda ofisini kwao, K'nyama kwa mfano
   
 6. tototundu

  tototundu Senior Member

  #6
  Apr 6, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hapo kwenye Products and Services, soma Post vizuri, nimeongelea TTCL Mobile tu
   
 7. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #7
  Apr 6, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Mimi nina modem ya ttcl na ninachofahamu wana charge kwa time na si kwa bundle kama wengine. Wao wana huduma inaitwa Banjuka ndio ukiunganishwa nayo una access internet yao kwa speed ya 3mbps. So unaweza kudownload any thing just within a time na fixed rate zao na 1000/- kwa saa kuanzia saa12asb mpaka saa 11 jioni, 800/- kwa saa kuanzia saa 11 jioni hadi saa 3 usiku. Na 500/- kwa saa kuanzia saa 3 usiku mpaka 12 asb.
   
 8. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #8
  Apr 6, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Mimi nimetumia TTCL Internet ya EVDO tangu wanaanzisha. Yafuatayo ndio sahihi
  Unaweza kutumia hata zaidi ya GB 1 kwa lisaa endapo utajiunga na promotion ya Banjuka ambapo kila saa moja unapata unlimited download/uploads kwa sh 1000 mchana na sh 800 wkati wa usiku
  2. Speed yake ni bomba sana
  3. Hakuna uchakachuaji kama Voda, unaomba bando saa moja, msg ya comfirmation inakuja saa 8 usiku
  4. Network hailatikati hovyo
  5. kWAKuwa TTCL ndio wanaoumiliki Mkongo wa mawasiliano na wao tayari wameshajiunga huko (naamini hakuna mtandao wowote uliomanage kujiunga Voda walikuwa wanajiandaa kwa dsm tu) speed na price zinafurahisha.
  6. Kumbukeni TTCL mobile ya TTCL ni CDMA sio GSM kama Voda, Tigo na Zain/Celtel/ Airtel/ Shuzitel

  CHANGAMOTO.
  cOVERAGE! VIJIJINI usiitegemee TTCL
   
 9. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #9
  Apr 6, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Mkuu hiyo web haijawa updated mwezi wa sita sasa! mambo mengi yamebadilika mkuu
   
 10. tototundu

  tototundu Senior Member

  #10
  Apr 6, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kama ulikuwa hujafahamu hii promo mpya ya 1Gb kwa sh 8000, kaa karibu na redio, hasa hasa stesheni ya Clouds, ingawa pia naanza kupata mwanga kuwa si watu wengi Tanzania wanaosikiliza hiyo redio kama inavyosemekana
   
 11. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #11
  Apr 6, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  wana spid nzuri eeh?mi nachopenda ni spid tu the rest tutajua hko mbele kwa mbele.
   
 12. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #12
  Apr 6, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Nani asikilize redio ya kimbea na udaku?? niambie nyingine, mara kibao hiyo radio inapotosha watu!!
   
 13. Venant Ben

  Venant Ben Senior Member

  #13
  Apr 6, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu unatumia modem ya ttcl aina gani?najua wao ni huawei but cjui wewe unatumia model ipi,mana mimi pia nina modem ya ttcl but nahic ni ya zamani sana na pia naomba unielekeze jinc ya kujiunga na hiyo ofa ya banjuka!
   
 14. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #14
  Apr 6, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,236
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mzito nadhani hujawahi kutumia ISP from vodacom before, Modem ya Vodacom ina uwezo wa WCDMA, EDGE na HSDPA kwa data speed kubwa kabisa ya 7.2MBPS tofauti na Airtel na Zantel zenye speed ya 3.6MBPS..mimi natumia Unlimited Internet Service kwa 30,000/= na nafanya Downloads zaidi ya 15GB kwa mwezi..kwa watumiaji wakubwa wa internet, Unlimited Internet from vodacom inawafaa na kwa wenye matumizi madogo madogo kama kucheki mail, facebook, skype etc, Airtel ya 400MB inawafaa!! i may say TTCL comes 5th after Vodacom, Tigo, Airtel and Zantel.. :A S-key:
   
 15. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #15
  Apr 7, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  GB15 kwa siku 30? kwa hii hii speed ya voda ya 64kbps ? una download 24 hrs? ngoja nipige hesabu vizuri maana naona umechakachua maneno yako mwenyewe.
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  Apr 7, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  I got somethng
   
 17. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #17
  Apr 7, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,236
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Uncle natumia Unlimited Internet mwezi wa nne sasa na nilivyoanza kutumia nilikuwa na modem yenye uwezo wa 3G, ambayo speed haikuwa kubwa sana lakini baada ya kupata 3.5G speed imeongezeka. natumia torrent files katika downloads na kwa torrents zenye peers wengi speed hufika mpaka 100-170kbps usiku. vilevile nimefanya comparison ya hizo modem mbili katika browsing the internet, 3.5G ipo fast sana beyond ur expectations..with 3.5G modem, its possible to do downloads beyond 15GB per month if downloads are made regularly..!!fanyia utafiti hilo uone :A S-key:...
   
 18. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #18
  Apr 7, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  15 gb umeniibia hela zngu hapo! Labda sema 6 to 7 gigs/month! Nlijaribu kudownload wndows 7 ambayo ilikua na seeds 24,000 na zaid!but ilichkua cku kama 8 kumaliza na ilikua ina gb 3.8,so angalia unachosema.
   
 19. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #19
  Apr 7, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Mkuu EVDO za TTCL zimetengenezwa na kampuni ya HUAWEI, ni sawa na simu yako itengenezwe na kampuni ya NOKIA, SAMSUNG, VODAFONE Etc. Kwahiyo Modem za TTCL pamoja na simu zao ni za Huawei. Huawei ni kampuni ya kichina iliyobobea kwenye teknolojia ya kisasa ya CDMA ambayo TTCL ndio wanayoitumia.
  Version huwa zinatoka mpya mpya kila mara, ukitaka kujiunga na BANJUKA, tumia simu ya TTCL wether ni Mobile au LANDLINE, PIGA NAMBA 135, Ukishapokelewa mwambie aliyekupokea akutransfer kitengo cha Internet, hapo sasa utamwambia huyo mtoa huduma akuunganishe na Banjuka
   
 20. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #20
  Apr 7, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ina maana huwez kujiunga mwenyewe kwa sms?ushaanza kunipa sababu za kutonunua hyo mdm...wats ths?
   
Loading...