noo ishu niivii tatizo liko kwenye nokia browser download hata operamini tatizo litaisha..mwenyewe nnatumia asha hiyo mwanzoni nlisumbuka ila saiv full
Tatizo la wanawake wako very moody.Jaman naombeni msaada wenu kwan kuna tofauti gani katika ushikaji wa internet kati ya simu za kawaida na nokia asha 311, sababu nikiwa maeneo ya town napata internet fresh kwenye hyo nokia, bt ninapokuwa nje ya mji simu zngne zinapata net ila nokia asha inanambia error 006, help wapendwa.
Tatizo la wanawake wako very moody.
Huenda huyo Asha anapenda sana mandhari za mjini, kwa hiyo ukimpeleka kwenu anaboreka na kukatika stimu zote.
ana deka sanaKwa hiyo Asha anataka kubembelezwa?