Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,762
- 5,276
Zantel ?
Hapa ninaandika huku nikitumia Halotel Value for Money Tshs. 1,000/= unapata 1 gb kwa wiki, Tshs. 5,000/= unapata 7 gb kwa wiki Zantel hata kupatikana sijui mpaka huende wapi...
Hii inapelekea kuhisi kwamba huenda huu uzi umeanzishwa kwa madhumuni ya self promotion
badili preferred network type iwe 3g onlyHalotel wana matatizo makubwa na hudumua yao ya internet. Ni kwamba speed ya internet hubadilika kila siku, mfano leo na jana speed ni ndogo kiasi hata google webpage huwezi ku download. Mimi nina line ya chuo na huwa najiunga na vifurushi vya mwezi lakini haisaidii. Ukipiga simu Customer Care kila mara wanakusomea ile standard script yao inayosema tatizo itakuwa ni simu yako na suluhisho pekee ni uzime simu halafu uiwashe. Hamna kitu! Cha ajabu nikibadilisha sim card nikaweka ya Vodacom mfano, kasi ya internet inabadilika kuwa kubwa.
HALOTEL MMEFELI! KILA SIKU NI MALALAMIKO YA WATEJA KUHUSU HUDUMA YENU YA INTERNET. PIA NI WABAHILI WAKUBWA HATA UKITUMIA LAKI MOJA KWA WIKI KUNUNUA KIFURUSHI CHA MWEZI HAMNA MFUMO WA KUWAGUNDUA NA KUWAZAWADIA WATEJA WENU WAKUBWA. SHAME ON YOU, YOU GREEDY BASTARDS!
Muda si mrefu watakua vodamajanga,Haloytel wameanza kufeli,tatizo hakuna dawati la kuyashughulikia haya makampuni,laiti kungekuwa na jnicho linalowatazama,wangeshika adabu.Halotel wana matatizo makubwa na hudumua yao ya internet. Ni kwamba speed ya internet hubadilika kila siku, mfano leo na jana speed ni ndogo kiasi hata google webpage huwezi ku download. Mimi nina line ya chuo na huwa najiunga na vifurushi vya mwezi lakini haisaidii. Ukipiga simu Customer Care kila mara wanakusomea ile standard script yao inayosema tatizo itakuwa ni simu yako na suluhisho pekee ni uzime simu halafu uiwashe. Hamna kitu! Cha ajabu nikibadilisha sim card nikaweka ya Vodacom mfano, kasi ya internet inabadilika kuwa kubwa.
HALOTEL MMEFELI! KILA SIKU NI MALALAMIKO YA WATEJA KUHUSU HUDUMA YENU YA INTERNET. PIA NI WABAHILI WAKUBWA HATA UKITUMIA LAKI MOJA KWA WIKI KUNUNUA KIFURUSHI CHA MWEZI HAMNA MFUMO WA KUWAGUNDUA NA KUWAZAWADIA WATEJA WENU WAKUBWA. SHAME ON YOU, YOU GREEDY BASTARDS!
ukweli mchungu huu ila subiri waje wakupinge, net ya Voda iko vizuri sana, ndio maana bei za bando zake zimesimama, you get what you pay forMtandao nchi hii ni vodacom pekee. Hiyo mingine ni takataka.
Nina simu 2, natumia laini 3, simu moja ina laini 2, vodacom na airtel, simu ya pili ina laini moja halotel, zote 4G.
Vodacom speed yake sio mjini wala vijijini, landa kuwe hakuna mtandao wa Vodacom.
Hapa Dar pekee 4G ya vodacom huwezi kuilinganisha na 4G ya mtandao wowote ka speed. Hapa Dar 3G ya vodacom ina seed zaidi y 4G ya airtel a halotel, **** jamaa yangu anatumia voda na tigo ananiambia 3g ya voda na kasi kuliko 4g ya tigo pia.
Huko mikoani ni the same. Vodacom haina mfano kwa kasiya internet na ubora wa huduma.
Yaa hata mimi bandle za halotel za 4G zinanisaidia, juzi wamenipa GB 10 kwa elf 5 siku saba. lakini siku 7 zimeisha nikajikuta nimetumia kama G3 pekee, sasa nina mpango wa kujiunga kwa mwezi. Halotel kwa kweli wapo vizuri kwenye gharama na uaminifu hawana ile ya kushtukia kifurushi kimeisha ulichotumia hukioniNadhani inategemea unatumia kifurushi gani. Kuna vifurushi ukivuka kiasi fulani cha matumizi (mfano unlimited bundles) kasi inashuka sana baada ya hapo. Haisaidii kubadili simu maana restriction ipo kwenye line yako.
Binafsi natumia bundles zao za 4G, nafurahia huduma.
Sent using Jamii Forums mobile app