Rural Swagga
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,643
- 1,177
Kwakweli Majibu ya Hapo Juu si ya kiungwana Kabisa....... Sasa mnataka mtu aje kuuliza swali wakati anajua jibu..... Halafu swali la umri hivi mnajua statistically vijana wadogo wanajua zaidi kuhusu technology kuliko wakubwa...... now back to the point Mzux D wewe ni mgeni jamvini usije ukadhani watu wote humu jamvini wako hivi... karibu sana....... kujibu swali lako ni kweli unaweza kutumia simu yako kama modem kwahiyo kupata uwezo wa kutumia kwenye laptop au desktop kwa kutumia USB..... now kuhusu charges itategeme mambo mawili; kwanza inabidi mtandao unaokusupply uwe na offer ya bure (kama kipindi kile cha ramadhani zain walikuwa na offer ya internet bure usiku) ya pili ni njia ya wizi (hacking) ambayo hii sikushauri...... lakini itakuwa cheaper ununue USB modem ambazo sasa si bei ya juu mfano unaweza ukapata package ya 2gb zantel au 3gb zain kwa wiki kwa alfu 10,000 which is cheap.... kutumia simu yako kama modem ni very expensive kwakuwa information kwenye simu (upload/download) ni ndogo ukilinganisha kwenye pc.... kama bado una swali PM me we are here to help each other thanks
Unachekesha Eti" hivi mnajua statistically vijana wadogo wanajua zaidi kuhusu technology kuliko wakubwa......mmmmh! Mbona haiclick kwenye ubongo wangu?? Naomba utufafanulie wanaJF
Sababu ya utundu na kutokuwa waoga vijana wengi sio waoga kwenye Technology wanapenda kujaribu na kudadisi pia since technology imekuwa kwa kasi recently vijana (dot.com generation) wamezaliwa na kukua wakati wa technology tofauti na wazazi wao ambao ni kitu kipyaUnachekesha Eti" hivi mnajua statistically vijana wadogo wanajua zaidi kuhusu technology kuliko wakubwa......mmmmh! Mbona haiclick kwenye ubongo wangu?? Naomba utufafanulie wanaJF
Haitasaidia kumwuliza mtu ambaye ameshaamua kutetea upuzi.Unachekesha Eti" hivi mnajua statistically vijana wadogo wanajua zaidi kuhusu technology kuliko wakubwa......mmmmh! Mbona haiclick kwenye ubongo wangu?? Naomba utufafanulie wanaJF
Muhasisi wa mtandao wa Facebook sasa hivi ana miaka 26 je wakati anaanza mautundu ya tekinolojia alikuwa na miaka mingapi? ubishi mwingine pelekeni kwenye vijiwe vya kahawa.
2. anaetaka internet ya dezo. kwa sisi wana wa Dar es salaam fika pale Kilimanjaro kempinski Hotel kama una simu au laptop unaconnect bure kwenye wlan wireless yao ambayo wala hawajaificha, ukifika tu maeneo ya kempinski simu yako lazima itakuonesha kama kuna free wlan wire less.
tena mimi ni mbumbumbu kwenye mambo haya mbona najuwa kama kuna sehemu huwa tunatumia internet bure? usione wahindi wamekaa pale kempiski masaa 6 ukazani anafanya la maana , hamna kitu ni kubana matumizi na wengi huwa wanaitumia hiyo loop hall kama wanataka kudownload mavitu yenye GB nyingi.
je mpaka hapo hujatumia internet bure? www.kilimanjarohotel.co tz
Wacha vichekesho wewe..kama kungekuwa na free internet..kungekuwa na ISPs? tooo much knowing..% kuwa ya walio comment hapa ni wafuasi wa kule MAU na kule Ahera.... Wa achieni wenye ujuzi na mambo haya wamsaidie kumuelewesha dogo, siyo mna kuja hapa na kutoa kejeli utadhani tuko kwenye kijiwe cha kahawa!
halaf mbaya kuliko zote huyu anaeuliza anaonekana anajua kuliko hawa wanaojibu mautumbo. internet la bure lipo bana nyinyi mpo ulimwengu gani? labda issue ni kwamba sio legal tu. watu wanalifyonza internet kupitia mawireless kuliko ndama anavyofyonza mimaziwa ya ng'ombe mama.kuuliza siku zote si ujinga......nimesikitishwa na majibu mengi humu
halaf mbaya kuliko zote huyu anaeuliza anaonekana anajua kuliko hawa wanaojibu mautumbo. internet la bure lipo bana nyinyi mpo ulimwengu gani? labda issue ni kwamba sio legal tu. watu wanalifyonza internet kupitia mawireless kuliko ndama anavyofyonza mimaziwa ya ng'ombe mama.
sory mkuu nimequote post lako lakini wewe hauhusiki kabisa na tuhuma hizi.
kamanda sasa hapo ndipo unapofuja, jamaa kauliza suali simpo kabisa , net ya bure, sasa mambo ya wavelength na perimiter utazani tunafanya mtihani wa fiziks bana .mimi ninachoelewa ni kwamba mimi binafsi nishawahi kuikong'ota net kwa miezi kadhaa bila kulipia single penny, tafauti labda ni kwamba yeye anaulizia bongo a.k.a graveyard, mimi sikuikong'ota bongo. lakini kuna mdau hapo juu ameelezea kwamba hata hapo bongo wikileaks za bure zinapatikana tu bila usumbufu na wadosi wanatelea tu.Unajua hata wavelength / perimeter za wireless? au kwa sababu hulipii kutuma post?
Wakuu vp nisaidieni jinsi gani ku-setting up intaneti ya bure kwenye simu na laptop?
I hope nimekujibu mkuu.....Unachekesha Eti" hivi mnajua statistically vijana wadogo wanajua zaidi kuhusu technology kuliko wakubwa......mmmmh! Mbona haiclick kwenye ubongo wangu?? Naomba utufafanulie wanaJF
I hope nimekujibu mkuu.....
Na kuhusu swala la kuhack hilo nalipinga siyo rahisi kwani sasa hivi tekinolojia imeboreshwa siyo rahisi m2 kuweza kuHack kirahisi namna hiyo....!Eti tekinolojia wa2 hawaijui ??? Inshort Dogo ilbidi afafanue na watu wanamzingua kwa sababu ameuliza swali ambalo majibu anayo mwenyewe.
Asilimia kubwa ya watu walio comment hii thread nahisi mpo mbali na technologia ndio maana mnaona kama vile ameuliza pumba.
Ningependa kuwajuza nyie msiojua, hii inawezekana tena 100%, ila kinachotakiwa ni ku jua proxy setings ambazo mtandao hautazitambua. Kwa mfano, proxy server ya voda inakuwa hvi, "10.154.000.008" na proxy port inakuwa "9401" au "8080". Sasa inategemeana na maeneo cos hizi proxy zinatengenezwa kufuatana na minara inayopokea signal za internet,
kwa nyie msiojua jamaa anamaanisha nini, anahtaji jinsi yakupata internet ya bure, bt inshort inawezekana ila mpaka uwe hacker, au upewe na wanao zitengeneza hzi proxy,