Internet ya bure

Internet ya bure

Usipate tabu kwa internet ya bureefanya kama ifuatavyo kulingana na mtandao wako
Vodacom piga namba ........... 100
Tigo piga namba .....100 au 0713800800
Airtel piga namba .................100
Zantel piga namba ...............100
HALAFU WAOMBE WAKUUNGANISHE NA INTERNET YA BUUUUUUURE KABISA
 
Usipate tabu kwa internet ya bureefanya kama ifuatavyo kulingana na mtandao wako
Vodacom piga namba ........... 100
Tigo piga namba .....100 au 0713800800
Airtel piga namba .................100
Zantel piga namba ...............100
HALAFU WAOMBE WAKUUNGANISHE NA INTERNET YA BUUUUUUURE KABISA
Twiii,twiiii,twiii,teeeeh.teeeee!!!!!Unanivunjambavu mjomba!!!
 
Ni jinsi gani naweza kutumia Internet bure?

Kaka mtaka cha uvunguni sharti alaliwe na mwenye kitanda!!
Net ya bure kwa maana ya Bure kabisa hakuna sema kuna net za gharama nafuu ila sharti uwe na uwezo wa
Ku-bundi

1.Airtel Sajili line kama 10 hivi then uweke salio la kuanzia angalau tsh 50 kila line afu uwavizie saa 6 usiku utapata hiyo net(zamani walikuwa wanatoa 200Mb kila line kwa sasa sijui wanatoa ngapi) ila yabidi upoteze usingizi wako maana kazi ni kubandika na kubandua hizo line mpaka kunakucha.

2.Voda piga *102*250# utakatwa tsh 250 but usubiri hadi saa 5 usiku unakamua mpaka kunakucha.

3. Tigo wao wanagharimu Tsh 300 kuanzia saa 4 usiku sema detail zimenitoka kidogo
 
Wasikukayishe tamaa bana, bure zipo we jaribu kutafuta mti anayefanyakazi voda mwambie inataka ya bure unampa cha kwake kiasi anakuumganisha unakura bwerereee!
 
Back
Top Bottom