Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
Nadhani ili ndilo lengo lao la kupima uwezo wa server zao n'kLet's look on the -ve side. Kutokana na kwamba watu wengi wanaisubiria hii offer, it's precise kwamba speed inakuwa low and sometimes connection itakuwa unavailable as server itakuwa na too much users online.
Too Good to be true!..
Ukipata tumia, ukikosa jutia!
Nasikitika kwamba net itakuwa verrrry sloooooow
Huu uongo au ukweli umeutoa wapi?
Unataka kuwatoa watu udenda bure!
tafadhali tupe source ya hiyo taarifa.
Safi, Ngoja nijipange!
source nimepata sms toka kwao na matangazo yao kupitia Radio One.