Internet ya Blackberry kupitia Airtel vipi?

Internet ya Blackberry kupitia Airtel vipi?

Msingida

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,686
Reaction score
12,451
Wanajamvi na siku kama ya tano leo internet ya blackberry kwenye line ya Airtel inasumbua sana.Tatizo ni handset yangu au Airtel?
Kuna wanaopata tatizo kama langu kwa watumiaji wa blackberry ya Airltel?
Msaada please.
 
Back
Top Bottom