Mawenzi JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,251 Reaction score 347 Jul 29, 2014 #1 Hodi Wadau, Eid Mubarak!! Naomba msaada wa mwenye kuifahamu/kuijua very effective eraser ya internet browsing. Natanguliza shukrani
Hodi Wadau, Eid Mubarak!! Naomba msaada wa mwenye kuifahamu/kuijua very effective eraser ya internet browsing. Natanguliza shukrani
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,418 Jul 29, 2014 #2 Unamaanisha browsing history? Kama umebrowse tayari futa cache na browsing history inatosha ila kama hutaki mtu akutrack kabisa download tor browser mtu hatakujua wala hutabakisha nyayo.
Unamaanisha browsing history? Kama umebrowse tayari futa cache na browsing history inatosha ila kama hutaki mtu akutrack kabisa download tor browser mtu hatakujua wala hutabakisha nyayo.
Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 19,114 Reaction score 9,280 Jul 29, 2014 #3 C Cleaner
Mawenzi JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,251 Reaction score 347 Jul 29, 2014 Thread starter #4 Ahsante sana chief-mkwawa na kibanga ampiga mkoloni