Internet settings za voda

danmarc

JF-Expert Member
Feb 25, 2012
570
115
Habari zenu wakubwa. Ninaomba mnisaidie proxy,port na apn za voda kwa ajili ya internet na wap. Ninataka niziingize manually kwny sim angu.SHUKRAN
 
yale yaleee, uko jirani na dereva alafu unamwambia konda shushaaa :confused2:
 
konda si ndiye anayefungua mlango!

akifungua mlango na dereva hajasimamisha bus utaruka ili uvunje miguu? Endapo litasimama na konda hajafungua mlango basi sie wazawa mbagala twasema hewalaa dirishaniiiiii :majani7:
 
Wakuu sikukurupuka tu na kuanza kuuliza, nimetafuta bila mfanikio naomben mnisaidie
 
Wakuu sikukurupuka tu na kuanza kuuliza, nimetafuta bila mfanikio naomben mnisaidie

kwenye apn weka "internet" na kwenye proxy hutakiwi kujaza kitu acha kama ilivyo alafu save kwa jina lolote na iwe default ingawa ni vizuri wakati mwingine ukiweka na model ya simu unayotumia
 
Back
Top Bottom