Internet Service Providers(ISP) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Internet Service Providers(ISP)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by junior05, Sep 4, 2012.

 1. j

  junior05 Senior Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wanajamii tumekuwa watumiaji wazuri sana wa internet,kwa kutumia vifaa mbali bali i.e computers,laptop,smartphones na hata mobile phones imekuwa rahisi kupata habari za kitaifa na kimataifa.

  Je ni wangapi tunaofahamu,internet ni ni kitu gani na kwa jinsi gani tunapata hizo habari Internet-ni muunganisho wa network mbalimbali kwa ajili ya kupatiana au kubadilishana taarifaMoja ya kazi kubwa za ISP ni utoaji wa huduma za internet na ili upate internet ni lazima uwe umeunganishwa na ISP,i.e modem,cable au satellite.

  ISP wamegawanyika katika makundi matatu,mgawanyiko huu unatokana na kwa kiasi gani wapo karibu na internet backboneISP tier 1-haya ni makampuni makubwa kabisa ya ISP ambayo yamejiunganisha kwa peer connection,direct connection au IXP(muunganisho wa ISP kwa region), media inayotumika ni fiber,kwa pamoja tier1 ISP wanatengeza global internet na kufika popote duniani.

  Tier2 ISP-hili ni group la ISP ambalo pamoja na kuwa na direct connection zao,bado hulipia Tier1 ISP to reach remote locations

  Tier3 ISP-hili ni group la mwisho la ISP ambalo humfikia end user na ili kupata internet hulipia Tier2 na wakati mwingine Tier1 ISP

  Nawasilisha
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  nikitaka huduma toka Tear 1 si bei itapungua?? au hao tear 1 hawasambazi kwa end user? ?
   
 3. j

  junior05 Senior Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Si rahisi kupata direct connection
  Kwanza Tier hawatoi connection kwa end users.wao ni information super highway that provides high-speed data links to interconnect the POPs and IXPs in major metropolitan areas around the world.
  Sababu internet haiwi managed na organization moja lakini Tier1 ISP kwa pamoja they are the internet backborn
  Hata hivyo kwenye kupunguza gharama za internet,muungano wa ISP mfano kwa ukanda kwa direct connction wanatengeneza IXP so kama unaaccess kitu kichopo ndani ya ISP mwingine ambaye yumo within your region,haufiki kwenye Tier 1 au 2
   
 4. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  mkuu hapo tungekua tunatoa pesa nd√łgo sanaaa.,.. C unajua wengne hawa ni madalali
   
 5. PlanckScale

  PlanckScale JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2014
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Jee IXP ya Tanzania inafanya kazi? Wangapi bado wamejumuika?
   
Loading...