Internet price rises in tanzania,

KUNANI PALE TGA

Senior Member
Feb 6, 2009
138
7
people will now have to spend more to buy internet in tanzania from today.this is due to ISP to increase the prices.Question is,than why were we told that after the fibre optic cable prices will go very low.why only this kind of things happen in tanzania?to me i think ,tanzania is the worst place to live on this earth,if things will go like this.Why our neighbours managed to reduce the prices after the cable became operational?i am going crazy....god help my country,which is burning to ashes.
source. the guardian.
 
Mkuu acha kumislead public . . . prices zinaenda chini.

Before Fiber 1 Mbps / 1 Mbps ilikuwa $ 6000
Baada ya Fiber rate ilishuka ikawa $ 2800
Ikaendelea kushuka last year ikastic kati ya $ 1000 hadi $ 1500
Sasa hivi prices ni kati ya $ 500 hadi $ 1000

Sasa ni wapi bei zinazidi kupanda?

In Kenya price ya 1 Mbps/1 Mbps ni kati ya $ 250 hadi $ 450
 
Mkuu acha kumislead public . . . prices zinaenda chini.

Before Fiber 1 Mbps / 1 Mbps. . . . . . .
In Kenya price ya 1 Mbps/1 Mbps ni kati ya $ 250 hadi $ 450

1Mbps/1Mbps ndo mdudu gani?
 
1Mbps/1Mbps ndo mdudu gani?

Yaani nimecheka saaana. Technical Jargon's hizo.

Menyewe kwa menyewe Taelewana lakini watu wa kawaida kama mimi na wewe ndio hivyo.

Nadhani itakuwa 1 mega bite per second. Wenye maujuzi na mambo hayo plz saidia.
 
Asibishiwe wanaJF aweke source na kuthibitisha ukweli wa hoja yake!!! Kama hautaweka Source utakuwa umetunga!!!!!!!
 
Asibishiwe wanaJF aweke source na kuthibitisha ukweli wa hoja yake!!! Kama hautaweka Source utakuwa umetunga!!!!!!!

1 + 1 = 5 msinibishie jamani nitatoa source! is this what you trying to say?
 
kwa nini tz juu kuliko kenya wakati fiber inatoka sa inafika tz kabla ya kenya?sawa na nauli ya dar dom iwe juu kuliko ya dar singida?why???uongo wao tumechoka wakati wa kuwashawishi hudanganya mradi ukikamilika bei juu kuliko ilivyokua awali!eg gesi ya songosongo,internet baada ya mkongo wa taifa
 
Mkuu acha kumislead public . . . prices zinaenda chini.

Before Fiber 1 Mbps / 1 Mbps ilikuwa $ 6000
Baada ya Fiber rate ilishuka ikawa $ 2800
Ikaendelea kushuka last year ikastic kati ya $ 1000 hadi $ 1500
Sasa hivi prices ni kati ya $ 500 hadi $ 1000

Sasa ni wapi bei zinazidi kupanda?

In Kenya price ya 1 Mbps/1 Mbps ni kati ya $ 250 hadi $ 450

1Mbps/1Mbps ndo mdudu gani?

Yaani nimecheka saaana. Technical Jargon's hizo.

Menyewe kwa menyewe Taelewana lakini watu wa kawaida kama mimi na wewe ndio hivyo.

Nadhani itakuwa 1 mega bite per second. Wenye maujuzi na mambo hayo plz saidia.

sure 1Mbps = One Mega bytes per second but 1Mbps/1Mbps?
Nyie watu wa IT tuelekezi vyema siye tusiye na ufaham wa mambo yao. Ukisema Mbps inamaana ni transfer rates. Sasa swali langu je hao subscribers wanauza kwa transfer rates? I thought ingekuwa kwenye GB etc. Kwanini iko hivyo mnavyosema ipo?
 
Mkuu sidhani kama anaetakiwa kuweka source ni wewe.
Ni muanzisha mada, corekti mi if am rong

nimekuelewa paulss, yaani hapo nilichukua najaribu kusema, ni kama mtu akuambie 1 + 1 = 5, si kila mtu anajua huu ni uzushi bila hata ya maelezo mengi, yaani iko wazi kihivyo huna haja hata kuomba source, info yake haiko sawa sawa kabisa, we si unatumia internet angalia ISPs wanavoprice products zao hakuna kitu kama 1Mbps/1Mbps. . .hamna haja ya source hapa
 
Mkuu acha kumislead public . . . prices zinaenda chini.

Before Fiber 1 Mbps / 1 Mbps ilikuwa $ 6000
Baada ya Fiber rate ilishuka ikawa $ 2800
Ikaendelea kushuka last year ikastic kati ya $ 1000 hadi $ 1500
Sasa hivi prices ni kati ya $ 500 hadi $ 1000

Sasa ni wapi bei zinazidi kupanda?

In Kenya price ya 1 Mbps/1 Mbps ni kati ya $ 250 hadi $ 450

Superman, hiyo alama $ una maana Tshs au USD?
Kama ni Tshs nadhani sina homa, ila kama ni USD kesho naenda kupima malaria!
 
Superman, hiyo alama $ una maana Tshs au USD?
Kama ni Tshs nadhani sina homa, ila kama ni USD kesho naenda kupima malaria!

$ means USD

Mbps Means unapata Internet Unlimited si ya kupimiwa katika Kibaba (GB). Ni kama una bomba la maji ulilofungulia maji usiku na mchana lakini unalipa fixed amount in a Month. Uwe umefunga bomba au umefungulia u are paying the same.

GB means unapimiwa kwenye kibaba. Ni kama ukinunua maji kwenye kidumu, au ndoo, au pipa au tabker. Yakiisha unanunua mengine.

GB inatumiwa zaidi na Telcom Companies.

Proper ISP na Makampuni wanaotumia Internet wengi wananunua in Mbps au Kbps.
 
Asante kwa ufafanuzi wako. Je downloading na uploading speed inaitwaje? Unataka kusema Mbps ndio unlimited internet??????
 
kweli inasikitisha sababu internet imeshuka bei sana nchi nyingi na inazidi kushuka

sasa mie nadhani serikali inakitu na hii kama wao ndio waatoa masharti

sababu nasikia na costs za kupiga simu toka nje kuja Tanzania ni ghali karibu mara 2 au 3 kuliko nchi za jirani kama Uganda na Kenya

kampuni moja mtu aliwauliza vipi mbona ni bei inapanda tu kupiga TZ wazungu wakadema ni nchi yrtu inacharges kubwa wakipandisha nao wanapandisha

shame kweli on TZ
 
TTCL ndo reliable na cheap, huko ISP wenyewe wananunua toka TTCL wanakuja kuwalangua, kwa internet, tumieni TTCL, take it from me! Na sasa hivi wana promo yao, ukiweka buku unakamua free masaa 12 wenyewe wanaiita banjuka
 
Local internet providers hike user fees
By Felix Andrew
4th January 2011EmailPrintComments New rates more than doubled in most cafes
Users complain they cannot afford to pay the new rates

Local internet users in Dar es Salaam and other parts of the country will have to dig deeper into their pockets following an increase of price charged for the services.

Most internet cafés in Dar es Salaam have hiked the price from 700/- to 1500/- per hour while others are charging between 1000/- and 2000/- per hour.

Investigation done by this paper in some internet cafes in city centre, Tabata and

Mbagala show that the price changes might bar many people from accessing the service.

Speaking to this paper some of the internet café users said a price hike will deny them the services since they cannot afford the increase.

"People like students or low income earners cannot afford to get the services in those cafes since it has doubled, "said Stuwart Kimambo.

He said the costs of internet should be kept low to enable as many people as possible get various information and materials.

"Last year we were told that the once the fibre optic cable is ready the internet costs would go down. But this has not happened," he said.

An internet café operator at Mbagala , identified as Joachim Kailembo, said they have been compelled to increase the price after the internet service provider (ISP) increased their prices.

"When our ISP hikes its price we are also forced to increase the price for our end user customers," he said.

Last year, Tanzania Telecommunication Company Limited (TTCL) which is one of major ISPs in the country announced reduction of its internet charges by 50 per cent in order to pass on the benefits to the end users after its connecting to the

Seacom submarine fibre optic cable.

TTCL Public Relations Manager Amin Mbaga was quoted as saying the new price has seen high volume Internet users including small scale entrepreneurs, banks, students in the higher learning institutions and business community enjoy a substantial internet bandwidth cost reduction.

The number of ISP/Data operators has increased to 62 by June 2009 from 60 at the end of 2008.

SOURCE: THE GUARDIAN
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom