Internet ni shamba la maarifa

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
218
Nchi nyingi za afrika ikiwemo tanzania hazijawahi kupita katika information age wala industrial age ya viwanda yaani kuunda viwanda vyake na mambo yake ya technologia vitu vyote tunavyovitumia sasa hivi na tutakavyoendelea kutumia ni mali ya watu wengine haswa nchi za ulaya , America na asia haswa japani , uchina , India na sehemu zingine kama Thailand , Malaysia and so on .

Tekilologia imekuwa sana haswa technologia ya mawasiliano na habari hizi katika enzi za internet na mitandao mengine mengi sana haina majina lakini yote inarahisisha watu na jamii Fulani duniani kuwasiliana na kupashana habari ni kama mimi hapa , leo ninaandika hii email nikiwa sehemu Fulani dare s salaam hapa Mayfair plaza nimekuja kwa shuguli za kikazi lakini nikaona niandike kidogo kutoa mchango wangu .

Basi humu katika internet kuna mambo mengi sana ambayo mtu anaweza kufanya na kushirikisha wenzake kwa nyakati kazaa za maisha yake , lakini vijana wetu wengi wanageuza hii tofauti , wanatumia internet kama vijiwe vya uzushi , ulaghai , na vitu vingine vya ajabu ajabu tu wakati internet kwa ujumla ni shamba la habari na maarifa kwa jamii yoyote duniani na kila lugha unayoijua utaipata katika internet

Kwahiyo mtu hawezi kuniambia amekosa cha kufanya au kutuma au kufungua mpaka anaanza kufungua tovuti za matusi na kuchukuwa picha za ngono na aina za ngono anaanza kutumia wenzake na hao wenzake wanafanya forwading , mtu anafanya hivi kwa kukusudia kutumia mali na vifaa vya kazini kwake haswa sehemu za serikali na sehemu zingine ambazo tunategemea kupata vijana na watu waliokua na kukuua kimaarifa .

Ni wakati sasa vijana na watu wengine kutumia internet na mtandao mzima kuchambua na kutafuta vya kufanya vya maarifa na msaada kwao na kwa jamii inayoishi sio kuchota picha za matusi au mambo mengine ambayo hayahusiani na maendeleo ya binadamu waaze kutumiana kwa njia ya forwards.

Unaweza kutuma ikafikiri ni sifa lakini unaowatumia sio wote wanaopenda hivyo wengine ni rafiki zako wanakustahi wanaogopa kukuambia labda urafiki utapotea au labda mnaushirikiano wa kikazi au labda ni tegemezi kwako kwa namna moja au nyingine lakini iko siku na yeye atasema au kusambaza tabia zako kwa mtandao huo huo

Nchi yetu Tanzania kubwa ina mambo mengi na watu wengi sana wenye amani na utulivu ikiongozwa na raisi mpenda amani anayependa kusafiri nchi za watu hovyo kwenda kutuletea maarifa na mambo mengine mazuri sasa kwanini na sisi tusitafute humu humu ?

Internet ni shamba la habari na maarifa tuitumie ipasavyo kwa maendeleo na jamii tulizoko

Ahsante

Ijumaa njema
 
Ameeen! But it could prove to be a challenge to actually see users put forums, blogs and resources alike to good use... Point well noted!

BD
 
Back
Top Bottom