Internet ni project CIA - rusia

Internet ni project CIA - rusia

middo lulyheart

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
260
Reaction score
98
Waziri wa ulinzi wa nchi ya urusi ameweka wazi kwamba internet kote duniani ipo chini ya kitengo cha usalama cha nchini marekani CIA na amewaonya watumiaji juu ya google searches!
 
Waziri wa ulinzi wa nchi ya urusi ameweka wazi kwamba internet kote duniani ipo chini ya kitengo cha usalama cha nchini marekani CIA na amewaonya watumiaji juu ya google searches!

sasa kama internet iko chini ya cia,hata ukibadili search engine nadhani bado watakupata.
 
Kazi tunayo

Snowden mwenyewe alisema,namnukuu" you can not hide from those guys,they have thirteen ways to hack on you,f.uck those guys"

As long tunatumia vifaa vya elekroniki,huwezi kujificha kwa wale jamaa. Kazi tunayo mkuu.seva zote za makampuni makubwa ulimwenguni yako kwao,yahoo,gugo,watsup,viber,facebook,firefox,bing,microsoft,sijui skype,nk. Imeshakula kwetu.
 
Ila mkuu watu wanaogopa tu naona hata kama USA wanafatilia mambo ---- ila kuna watu na watu. Sasa kama mfano wewe ni mtu wa kijijini kazi yako kulima na kuwatsapuka unadhani watakufata ili iweje?? Hakunaga siri duniani siku hizi...
 
sasa kama internet iko chini ya cia,hata ukibadili search engine nadhani bado watakupata.
Niliwahi sikia ni google,bing na search engine nyingine za kimagharibi ndio jamaa wanakuona kila ufanyacho. Ndio maana china na urusi wana search engine zao na satellite zao ambazo si lazima wapitie google kufanya mambo yao,that means wana internet zao. Google wakitumia ni kwa mambo ya public na yasiyo sensitive.
 
Ila mkuu watu wanaogopa tu naona hata kama USA wanafatilia mambo ---- ila kuna watu na watu. Sasa kama mfano wewe ni mtu wa kijijini kazi yako kulima na kuwatsapuka unadhani watakufata ili iweje?? Hakunaga siri duniani siku hizi...

Kweli kaka,sisi huku hatuwahusu,wala hatupose any threat kwao,wanakomaa na wanaowahusu tu kama manchi makubwa,china,urusi,korea kaskazini nk.
 
Niliwahi sikia ni google,bing na search engine nyingine za kimagharibi ndio jamaa wanakuona kila ufanyacho. Ndio maana china na urusi wana search engine zao na satellite zao ambazo si lazima wapitie google kufanya mambo yao,that means wana internet zao. Google wakitumia ni kwa mambo ya public na yasiyo sensitive.

Watakuja hapa watu wa komputa kutusahdia ila nasikia asilimia zaidi ya 90 ya data zote lazma zipitie marekani,pia nasikia data zina tabia ya kupendelea kupitia kwenye mteremko,sehem yenye miundombinu mizuri ya internet,na marekani ndio wako vizuri,lazma zipitie kule ndio zikufikie,watazipata

pia kuna kitu kinaitwa DNS,Domain savers system,inayohusu address zote,zaidi ya 90% ya hizo kitu iko marekani,kwa hiyo hata uwe na search engine yako lazma hao jamaa watakupata,,snowden alisema there is no way you can hide from those guys. Hatari,ila bongo hatutakiwi kua na wasiwasi,hatuwahusu sana.

Njoo kwenye simu,karibu asilimia 100
ya operating system zote za cm na computer ziko marekani,na kila ukiwa kwenye internet zinatuma taarifa marekani,android,windows,iphone,blackbery os,wachina au warusi wanatumia hizo kitu,hawana os yao,hawawezi kuwakwepa wamarekani.
 
Kaka unachosema ni sahihi soma hapa uone ni kweli USA ndiyo walianzisha mambo ya internet board kwa ajiri ya kusimamia mambo haya.Ninachotaka watanzania mjue kuhusu technology in this case internet is " you are being watched" no matter uko nchi gani kwa hiyo hilo suala ulilosema wabongo tusihofu si kweli.Ila kwa wizara nyeti au vitengo nyeti huwa haishauriwi computer zenye data muhimu(top secrete) kuwa connected kwenye internet.if you can see them they can see you,namanisha kama unaweza kwenda kwenye internet na kupata information vivyo hivyo watu wanaweza kupata information kutoka kwako.
Kwa mfano internet browsers kama IE,firefox,chrome zintunza information zako ikiwemo username na password yako ya site unazotembelea kama uamini ni PM nikuelekeze then ujionee mwenyewe.Tena kuna browser moja hapo huwa inatuma taarifa za matumiaji kila baada ya muda fulani that is why security wise huwa tuna clear browser history and cookies an kufanya mambo mengine ili kuwa salama.
pia nataka mjue kwamba technologia yeyote huwa zinaanzia majeshini,ukiona technologia imeletwa uraiani utumie jua kuna nyingine mpya ipo,mfano google map/google earth.Hii ukiwa na cordinate za eneo fulani unaweza liona na hata kufika bila kuuliza watu,kwa hiyo kabla google map hajapewa raia zilitumika na watu wa usarama kujua maeneo.Huwa najiuliza samahani lakini yale matangazo ya maeneo ya usalama "usipige picha hapa" unahisi with technology nahitaji kwenda kupiga picha?Sasa hivi kuna survillance satellite,kama unaijua survillance camera jiulize survillance satellite inakuwaje kwa hiyo Snowden alivyosema huwezi kujificha hakukosea kulingana na level ya ufahamu ya mtu anayetafutwa mfano Osama bin laden aliweza kujificha kwa muda mrefu.Unadhani kwa nini aliweza?He knew how the system work.
Kwa taarifa yako mataifa makubwa wametugawana kabisa mwingine anamonitor Africa,mwingine Uarabuni,mwingine south America information yeyote watakayopata wanaianalyse wakiona inawafaa wanachukua kama haifai wanaachana nayo so usijidanganye Tanzania huangaliwi.
Tena nahurumia africa hasa wale wapenda program za bure,unakuta kampuni wanatumia free softwares unadhani wao wajinga wakupe vitu vya bure?Kuna program zinatengenezwa kuchukua information za watu.So kwa kifupi your being watched and you are not safe 100%,kuna siku nilikuwa nasoma kitabu fulani nilishiwa nguvu baada ya kugundua kila kitu kinaonekana.
Depending on something is a weakness,je unaweza sasa kwa kuwa umezoea internet uishi bila internet?Waulize watu wa system sometimes wanatumia njia za jadi kuwasiliana na hata wakitumia za kisasa wanakuwa wameuficha ujumbe?(encrypted message).
USA si ndiyo wanatawala dunia kwa sasa,sasa huwezi kutawala watu usio wajua,kuwaona au kujua wanawaza nini?kwa hiyo,lazima USA wa fight kumake sure wanakuona,wanajua unachofanya na ulichopanga kufanya.
Home work:Ukiwa na strong antivirus kwa mfano ukascan computer yako ukakamata "trojan horse" unajua nini hasa hii?Tumia internet kujua what is a trojan horse just in case hauijui ni nini.Pia tafuta "spyware i.e spying software".
Regards
Aqua
 
Mkuu Aqua,
unachokisema ni kweli,kumbuka kile kinu cha nyuklia cha irani kilicholipuka miaka michache iliyopita?walituma virusi wabaya,wakaharibu system hadi wakafanikiwa kuwasha reactors,bahati nzuri kwa wairani main control computer ilikua disconnected vngnevyo yangekua majanga ya nyuklia kama ya chenobyl

Data encryption haisaidii kitu kaka,NSA waliweza kuhack sever za blackbery ambayo sisi tunaamin ina data encryption nzuri,wakadekropt..microsoft wana data encryption nzuri ila NSA wanaweza kuchota data kabla hazijafika kwenye seva za microsoft.

Kwa kweli kuwakwepa NSA unalazimika kutumia njia za jadi kaka,kuachana na enternet vngnevyo lazma wakupate.
 
hv jaman napenda kuuliza je hapa kwetu kuna watu wa taaluma mbona sijawahi sikia hata siku moja mtu ame hack system fulani au sever ya company fulani wala hata ku develop software moja na sisi tukajivunia?
 
Snowden mwenyewe alisema,namnukuu" you can not hide from those guys,they have thirteen ways to hack on you,f.uck those guys"

As long tunatumia vifaa vya elekroniki,huwezi kujificha kwa wale jamaa. Kazi tunayo mkuu.seva zote za makampuni makubwa ulimwenguni yako kwao,yahoo,gugo,watsup,viber,facebook,firefox,bing,microsoft,sijui skype,nk. Imeshakula kwetu.

Inakula nini? Nchi kama Tanzania/Tanganyika kuna nini cha CIA kukisakanya? Tuendelee tu kutumia mtandao. We have a lot to gain than to loose. Wao wanaogombania kutawala dunia ndio wanashida ya kukwepa server za marekani. Happy Tanganyika... hail forever..
 
Mkuu Aqua,
unachokisema ni kweli,kumbuka kile kinu cha nyuklia cha irani kilicholipuka miaka michache iliyopita?walituma virusi wabaya,wakaharibu system hadi wakafanikiwa kuwasha reactors,bahati nzuri kwa wairani main control computer ilikua disconnected vngnevyo yangekua majanga ya nyuklia kama ya chenobyl

Data encryption haisaidii kitu kaka,NSA waliweza kuhack sever za blackbery ambayo sisi tunaamin ina data encryption nzuri,wakadekropt..microsoft wana data encryption nzuri ila NSA wanaweza kuchota data kabla hazijafika kwenye seva za microsoft.

Kwa kweli kuwakwepa NSA unalazimika kutumia njia za jadi kaka,kuachana na enternet vngnevyo lazma wakupate.
Naungana na wewe mkuu nimesema data encryption ili kutoa idea ya ujumbe hausafirishwi kama "plain text" ingawa naamini katika data encryption "algorithm" zinazotumika zinatofautiana ugumu wa kuigundua.Hapo ndipo knowkedge inahitajika.kaka program au application huwa ni 'predefined' inafanya kazi kama walivyoset kikitokea kipya ambacho haikijui haiwezi kwa hiyo encryption ya Blackbery ilikuwa nzuri kwa wakati ule watu wameisoma ili wajue jinsi ya kufungua wakafanikiwa.Ni kama antivirus unavyoshauriwa kuiupdate mara kwa mara lengo ni kama kuna virus wapya na waliotengenezaantivirus wamemjua utaweza kumkamata otherwise atakusumbua.
Kuna hii technology ya security ya RSA ni expensive lakini inaongeza usalama ila kampuni ni la Wamarekani tunarudi kulekule.Hii nilishawahi tumia iko vizuri.
Speaking of Irani ni kweli unavyosema,lakini ukumbuke mataifa yanayotafutana huwa wanapachika ma agent na haweki weki tu ni long term plan.All in all tujua sikuhizi kuna "cyber war" kwa mfano kama unafuatilia serikali ya Ujerumani imezionya wizara zake na vitengo muhimu wasitumie windows 8 wanahisi ina mapungufu na inaweza tumiwa kuiba siri zao(kutengeneza backdoor).Soma hapa for full details .Njia za jadi ni gharama ila ndiyo hivyo,kwa kweli struggle for power ndiyo imesababisha tufuatiliane ki hivyo si unajua "information is potential power".
Serikali yetu sijajua wanajirinda vipi, nisiseme sana kwani days to come nataka niifike serikali kuhusu mambo fulani nione kama watanipa kazi otherwise,tumuombe Mungu.
 
hv jaman napenda kuuliza je hapa kwetu kuna watu wa taaluma mbona sijawahi sikia hata siku moja mtu ame hack system fulani au sever ya company fulani wala hata ku develop software moja na sisi tukajivunia?
Kuhack system ya mtu ni kosa kisheria ,sasa mimi naweza kuwa najua ila na mambo mengi ya kufanya maishani mwangu .Kwa nini nijiingize matatizoni bure?Pia mtu anapo hack system anasababu zake ,inawezekana sababu za kufanya hivyo bado watu hawajazipata.
Pia ujue kuhack siyo vigumu ,ugumu ni baada ya kuhack utajilinda vipi usigundulike,wengi wanapata zana za kufanya hivyo,wachache wana ufahamu wa jinsi ya kujificha wasiweze kukamatwa.Wabongo wangapi wako tayari kuchoma/kuteketeza laptop zao baada ya kuzifanyia kazi?Kumiliki laptop kwenyewe shida sasa kuiteketeza itakuwa rahisi.Tz wapo wanaoweza fanya hivyo,kuna siku nilijisikia vibaya baada ya kusoma mstari huu "any competent IT do not need to ask user for their passwords" jamaa anamanisha kama wewe ni IT uko fiti na kuna mtu labda amekuachia computer yake ambayo iko password protected huhitaji kumwuliza password.After that I struggled to be there,where I do not need to ask for users' password.
 
Back
Top Bottom