Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,502
- 1,047
Mine is here.Kenya has far much faster internet too..
lets do a speed test here. go to browser and type
fast.com/#
screen shot your connection speed.
mine is hereView attachment 1202300.
Katika hili Wakenya mtuache tu.
mtandao gani huu?
we are talking about mobile broadband here.. I could also post my cable connection here clocking at times 200mbps
Landlord amekuruhusu! Vipi costs zako ata ku refund?Naona hapo mnapewa bundle za juu lakini lakini ziko capped at maximum bandwidth unaweza kutumia kwa mwezi, hata iwe speed gani, ukimaliza hio 50GB na siku moja huwezi tumia internet hadi unune tena... Tofauti na hio safaricom home fiber ukipewa bandwidth ya 20Mbps unapewa unlimited bundle Yani Una download vitu vya 1TB baada ya wiki moja na bado unaruhusiwa kuendelea kutumia....
Mi nishajiandikisha nataka Fiber Kwa nyumba, Friday walikua kwa nyumba kupima na wamesema Monday saa nne niwe Kwa nyumba niwekewe kitu! nitakuonyesha speed yangu hapo Kesho Mungu akipenda, lakini mbali na hilo nitakua na download unlimited! Yani hata nitakua si zimi computer, nitakua naiwacha iki download siku nzima, naona baada ya wiki moja ntakua sina cha kudownload tena , nitabaki ni ki stream Netflix na YouTube nikingojea new content.
Please Post tuonewe are talking about mobile broadband here.. I could also post my cable connection here clocking at times 200mbps
I'll post that when am there. currently on the move. can only post my mobile connection.Please Post tuone
Sasa hivi mmeacha Fiber.
Internet Speed Test
How fast is your download speed? In seconds, FAST.com's simple Internet speed test will estimate your ISP speed.fast.com
Am waiting. UsinipotezeeI'll post that when am there. currently on the move. can only post my mobile connection.
for LTE thats super fastKenya has far much faster internet too..
lets do a speed test here. go to browser and type
fast.com/#
screen shot your connection speed.
mine is hereView attachment 1202300.
why do you compare Mobile connection with fibre
So what can I do for you? Onesha ya kwako sasa tuone. Maana ukiguswa tu unapiga kelele.why do you compare Mobile connection with fibre
upload speed ya 715 mb/s utatoa wapi?
Itabidi ufunge sasa bakuli lako. Kuhusu Internet Speed ni bora mtafute kitu kingine.upload speed ya 715 mb/s utatoa wapi?View attachment 1202429
Sasa hivi nipo moyale mpakani huko ndio ungetarajia hata kusiwe na network coverage completely ilihali wewe upo Dar ,Mimi pia nikiwa Nairobi yangu hua 150 Mbps.
Hehe, Landlord amesema ataweka insfrustructure(pipes) na kila mtu kwa apartment atakua akitaka anapitisha hapo manake request ni nyingi... In the mean time aliruhusu wanieke kwasababu naishi 1st floor...Landlord amekuruhusu! Vipi costs zako ata ku refund?
..... niiregeshe.Hehe, Landlord amesema ataweka insfrustructure(pipes) na kila mtu kwa apartment atakua akitaka anapitisha hapo manake request ni nyingi... In the mean time aliruhusu wanieke kwasababu naishi 1st floor...
Installation cost zinagaramiwa na Safaricom. Lakini nathani hio router watakayo niwekea kwa nyumba itakua ni mali yao, niki hama au nikiacha kutumia naniseme sitaki tena nafikiri wataniambia niiregeshe .
Rudi nyumbani kumenogamtandao gani huu?