Msaada wana JF, nahitaji download manager,inakua inanisumbua kila nikii download inaniambia file incomplete, msaada kwa mdau anaejua jinsi ya kui download hii kitu, au dowload manager yoyote ambayo ni rahisi kuipata, au link yoyote ambayo itapelekea kupata iyo kitu. Thanks