Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,078
- 15,062
Habari wana jamvi...
Nilikua nina wazo la kuanzisha internet cafe maeneo ya kinondoni ..je ni service provider gani ni mzuri na sitajutia kumchagua ??? Je nitaweza vipi kulimit watu kudownload??? Je ile time limit software ina gharama gani??? Je kwa sasa internet cafe kwa nusu saa ni bei gani???
Naomba msaada wa kiufundi hapo juu ingawa kuna maswali ya kibiashara pia...
Nawasilisha