Internet Cafe Time Watcher

sandet

Senior Member
Mar 27, 2010
113
97
Habari wana jamii Forum,

Naomba msaada wenu,

Ninahitaji Time Watcher nzuri ya kununua kwa ajili ya kutumia kwenye internet cafe,
nimeasha jaribu free version lakini kuna wakati zina sumbua,

wapi naweza nununua kwa hapa bongo??

Ahsante

Sandet
 
Habari wana jamii Forum,

Naomba msaada wenu,

Ninahitaji Time Watcher nzuri ya kununua kwa ajili ya kutumia kwenye internet cafe,
nimeasha jaribu free version lakini kuna wakati zina sumbua,

wapi naweza kuinunua kwa hapa bongo??

Ahsante

Sandet
 
Uko wapi na unahitaji ya komputa ngapi ? hizi nyingi hawauzi madukani lakini unaweza kununua kwenye mtandao kuna hata programu huria nzuri sana kwa ajili ya kufanya kazi hiyo .
 
Habari wana jamii Forum,

Naomba msaada wenu,

Ninahitaji Time Watcher nzuri ya kununua kwa ajili ya kutumia kwenye internet cafe,
nimeasha jaribu free version lakini kuna wakati zina sumbua,

wapi naweza kuinunua kwa hapa bongo??

Ahsante

Sandet

Ukisema za free zinasumbua elewa kwamba hata za kununua zinasumbua. chukulia mfano mdogo wa OS windows na Ubuntu. Je ukitumia windows ambayo si ya bure unakuwa guraanteed kuwa haitasumbua? Jibu ni No......

Na hizo ulizzotumia zilizo kusumbua ni program gani. zitaje wadau wenye uzoefu wa biashara ya internet watakupa majina ya program "nzuri" nyingine

vile vile Kabla ya kuuliza wapi unaweza kununua kwanza ulizia jina la software hiyo "nzuri" . then Isome review zake kwenye mtandao ujirizishe then kaiununue. Maaana Ukishanunua ndo imetoka.
 
Mkuu ukisema za free zinasumbua unakosea, nimetumia timewatcher ya free more than 10 yrs na haijawahi kuniletea shida, wewe unatumia Time watcher gani?
 
Zipo za kudownload ambazo ni nzuri pia zinakuwa na serial zake lakini ambazo ni za free kuwa wajanja wanajua namna ya kuzifungua kitu ambacho kinaweza kikawa kinakuletea hasara mkuu!
 
Zipo za kudownload ambazo ni nzuri pia zinakuwa na serial zake lakini ambazo ni za free kuwa wajanja wanajua namna ya kuzifungua kitu ambacho kinaweza kikawa kinakuletea hasara mkuu!

kaka unaweza kunisaidia link? mimi niliwahi kutafuta yenye serial nikaikosa.
 
Mkuu kwa sasa Natumia Time watcher kwa jina ni Time Watcher(Cyber cafe Software)-Business Version 5.1 ambayo nimei download kupitia
http://www.timewatcher.de/bus/Home/ ina option ya Administrator and Client Version wakati wa kuinstall..tatizo nalopata ni kustack mara kwa mara..na kuleta error messages nyingi..labda mkuu uliyetumia kwa miaka kumi unieleza unatumia Time Watcher ya aina gani..na kwa computer ngapi?
 
Back
Top Bottom