Interner

kau

Member
Dec 21, 2011
80
95
Jaman ningependa kufaham ni mtandao upi wa simu ambayo internet yake iko fasta
 

snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,133
1,250
Vodacom Mkuu !

Ila kama upo eneo baya ! Utaona vodacom ni ---- tu !

Ila binafsi i'll pick Tigo over Vodacom !
 

RGforever

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
6,897
2,000
Hakuna mtandao Bora kwenye speed ila Kuna Maeneo Bora Kulingana na Coverage ya Mtandao wako
 

Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
8,783
2,000
TTCL hutojutia
  • Hapa mitandao yote itatajwa maana kila mmoja yuko eneo tofauti na speed apatayo ni tofauti kwa eneo hilo husika. kau zingatia ushauri wa RGforever hapo juu
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom