International kissing styles

International kissing styles

426482_355439811233006_2016723873_n.jpg
Wacha weee
 
Excel - Unawachokoza eeh? Subiri wataalamu waje na majibu yao pamoja na viambatanisho kukuthibitishia kuwa waafrika nao wamo...... Lol!

sisi tunalazimisha fani bana!!!

we utakiss vipi kama unakamua jipu?

1501840_491124624331190_1563804592_n.jpg
 
Excel shikamoo marahaba
Waafrica naona tunaiga maana hizo sio kiss ila majanga

hahahahaaaa!! kazi mnayo kulaleki!

ngoja nimtafute mama bhoke nimng'ate midomo yake dadeki!

(bado sioni notifications on time....! hapa naote tu km mchawi! lols!)
 
hahahahaaaa!! kazi mnayo kulaleki!

ngoja nimtafute mama bhoke nimng'ate midomo yake dadeki!

(bado sioni notifications on time....! hapa naote tu km mchawi! lols!)

Hili ni tatizo mkuu na sio kwako tuu
Angalia using'ate ulimi sasa maana kama kiss ni kama hizo za Tyta hapo ni majanga
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa!! hawa wananyonyana damu ama vipi?

13591_482329001877419_541230571_n.jpg
mbona huyu mwanamke hayuko serious na kazi kabisa??

mshkaji naona kazama ulimini, lakini dem anaangalia kamera!! hahahaaaa!!
Umeona eeh?!! ha! ha! ha! Nahisi dada alikuwa anaomba msaada kwa mpiga picha maana concentration kwenye tendo husika ni minus zero...jicho liko kwa mpiga picha. Kama vile anajaribu kusema "heeelp" lakini ndio sauti haitoki maskini:help:
 
Hili ni tatizo mkuu na sio kwako tuu
Angalia using'ate ulimi sasa maana kama kiss ni kama hizo za Tyta hapo ni majanga

hahahaaa!! nilisha m-french kiss mtoto wa watu, hahahaaaa!! nikaona ni majanga tupu..! nikapiga pause!!!

nika-assume ameridhika! nikakimbia zangu machimboni!
 
mamii unaweza kumbeba hasheem thabeet wewe?... mambo ya kuvunja nyonga watoto wa watu, mi siwezi!

hahahahaha nikivunjika nyonga ajari kazini bwana mbele ya mwanamke hakuna size isiyobebeka
 
Kwa sisi waafrika bora tuwe tunamalizana faragha tu
 
hahahaaa!! nilisha m-french kiss mtoto wa watu, hahahaaaa!! nikaona ni majanga tupu..! nikapiga pause!!!

nika-assume ameridhika! nikakimbia zangu machimboni!

weeeee noma but machimboni ndo wapi huko
 
hahahaaa!! nilisha m-french kiss mtoto wa watu, hahahaaaa!! nikaona ni majanga tupu..! nikapiga pause!!!

nika-assume ameridhika! nikakimbia zangu machimboni!

Haya bana maana french kiss ina wenyewe bana wengine wanaishia kuchafuana tuu
 
acha wenye kilo zetu za mbwa 2bebwee....kila siku mbebwe nyie 2????
 
wakuu me naona hz kisses ze2,ni za kibakaji khaaabisaaa....maana washkaji 2navyokunja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom