Rainford Kalaba yuko ndani ya kikosi cha Zambia dhidi ya Uganda,Emma Okwi,Hamis Kiiza yuko ndani ya kikosi cha Uganda dhidi ya zambia leo.Kwanini Tanzania haina Ulimwengu na Samatta dhidi ya Namibia?
Mkuu kwa nini hujiulizi kwamba sababu gani ilifanya wachezaji wa Yanga wakaondolewa kwenye timu ya Taifa.
Hata wewe ungekuwa kiongozi wa TP Mazembe ungetumia sababu hizo hizo walizozitumia kuwaacha wachezaji wa Yanga ambao tayari walikuwa wameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa lakini wakaondolewa ili wajiandae na mechi dhidi ya Al Ahly, kwa hiyo kwa TFF ni Klabu kwanza na Taifa baadaye.
Ndio maana nauliza kwa nini basi msingelisubiria hadi mechi hii ambayo ni muhimu kwa viwango vya FIFA ipite kwanza, ndiposa mfanye mchakato wa kuvunja mkataba na Bw. Poulsen.
Ndio maana nauliza kwa nini basi msingelisubiria hadi mechi hii ambayo ni muhimu kwa viwango vya FIFA ipite kwanza, ndiposa mfanye mchakato wa kuvunja mkataba na Bw. Poulsen.
Hata mi naona kuna ukurupukaji mwingi hapo TFF, hasa kwa Malinzi.
Mi ni kati ya watu nilioamini Jamal Malinzi angefaa sana kuiongoza TFF, lakin kwa sasa sina uhakika na kile nilichokiamin kipind cha uchaguz TFF.
Kwa mtazamo naona huyu bwana anakurupuka sana na huenda akawa anaongozwa na visasi pamoja na hilo linalosemwa sana (Ukabira)
Sion sababu ya kusitisha mkataba wa Kim tena kwa gharama zote hizo, pia siion sababu ya kuusitisha wiki moja kabla ya match huku yeye akiwa ndo mwaandaji mkuu toka match ilipotangazwa January.