engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
kwa wapenda soka mnaweza angalia mechi kupitia hii link hapa.
mechi itaanza saa mbili kamili usiku kwa saa za Tanzania,unaweza kufuatilia hii link ili kuelewa zaidi
tvall-soccer.com/livestream/match/369600/Namibia-vs-Tanzania
Leo Tanzania inacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Namibia, hizi ni mechi zipo ktk ratiba ya FIFA, timu hii imekwenda Namibia na Salum Madadi ambaye ni kaimu mkurugenzi wa ufundi wa TFF ameteuliwa pia kuwa kaimu kocha wa Taifa Stars. Alishawahi kuifundisha Taifa Stars na pia kuwa kocha mkuu wa Simba miaka ya nyuma.na ana leseni ya juu ya CAF.
Na timu hii imefanikiwa kufanya mazoezi siku moja tu.
Tunaelewa ktk soka kuna matokeo matatu yanaweza kutokea, kufungwa, kushinda ama kutoa sare
Niwatakie kila lenye jema Taifa star's
======================

FT
Namibia 1 - 1 Tanzania