Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 56,485
- 57,111
Kuzimu hakuna 🍻
ndo maana nimetumia neno wanywaji na neno waleviPombe zote pamoja na madawa fulani yana kilevi ndani yake; kuzitumia haina maana ya kuwa ni ulevi ingawa unaweza kulewa. Ulevi ni tabia mbaya za kuzidi kipimo mara zote, na watu hao ndio wanaoitwa walevi. Wakati Obama anakunywa beer hapa, haikuwa na maana kuwa ni mlevi.
View attachment 1170624