Interior ya magari ya mwaka 1924 vs miaka 100 baadae 2024!

Interior ya magari ya mwaka 1924 vs miaka 100 baadae 2024!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
31,228
Reaction score
89,115
Baadhi ya picha za interior ya magari ya miaka ya 1924.
IMG_0428.jpeg
IMG_0430.jpeg
IMG_0429.jpeg

Na chini interior ya magari mengi ya huu mwaka 2024.
IMG_0433.jpeg
IMG_0431.jpeg

Tofauti ya miaka 100 sio mchezo.
 
Tunawabeza watu weupe ila wao wameturahisishia sana maisha,,kwa akili zetu zinavyowaza ujinga na uvivu pengine mpaka leo tungelikua tunavaa magome ya miti na kutembelea punda😁.
Land rover festival
 
Back
Top Bottom