Hello JF...
Kuna friends wangu kama watatu wako kweney finishing stage ya nyumba zao. So katika kumaliza wanapenda kupata Designer wa jiko na dining. Kuwashauri setup ya makabati na jiko, fridge etc nyumba zote ziko mwanza.
Maeneo tofauti tofauti....Kama wamfahamu mtu anafanya kazi hizi mwanza..please nifahamaishe ntampata wapi?
charminglady
Regards